Baada ya Kufanya Kazi ya Kujiuza Usiku Mzima Hivi Ndivyo Machangudoa Wanavyolala Baada ya Kazi
15
May 05, 2013
Baada ya Kufanya Kazi ya Kujiuza Usiku Mzima Hivi Ndivyo Machangudoa Wanavyolala Baada ya Kazi, Wengi wao wamekodisha chumba kimoja wakisaidiana kulipia kodi...Hapa ni maeneo ya mwanyamala Mida ya mchana wakisubiri usiku uingie waende kazini.
Tags
Wewe ni muongo na huna kazi ya kufanya,kama udaku wenyewe ndo huu acha kutunga story za kijinga. Hii ni picha ya family ambayo walikuwa poisoned baada ya kula chakula somewhere and they were found dead! Pathetic, forcing story, ndo maana Tanzania hatuendelei kwa sababu ya mijinga ka wewe apo mxuuuuuuu!!
ReplyDeleteudaku nyie amna kpya acheni k2fanya wakuja wajinga nyie
ReplyDeleteIF WHAT DANTE ARGUED IS TRUE....WAT U HAVE DONE IZ F**L!!! KAMA HAMNA STORI ZA KUPOST ITS BETTER TO KEEP SILENCE NA KUFANYA MAMBO MENGINE YA MSINGI!!! NA SIO KUDANGANYA UMMA!
ReplyDeleteNao day's udaku mmefulia, hamna jipya
ReplyDeleteAdmin jibu hayo tuendelee kukuamini
ReplyDeleteomg wewe poster unaweza ukafungwa hivi hivi...amani hii picha nilioona kwenye naia pals kitu kama mwaka jana hivi na story ya hiyo picha ni ya familia ilikutwa wote wamefariki...sikumbuki kifo kilisababishwa na nini lakini hao watu kwenye hiyo picha ni wame kufa
ReplyDeletenisameheni ka kuchapia hapo juu by the way
ReplyDeletejamani proof hii hapa, original story ya hiyo picha hii hapa
ReplyDeletehttp://www.gistmania.com/talk/topic,117306.0.html
Kwa hiyo we admin, Umekuwa msenge kiasi unaleta story za UONGO. Mwanaharamu mkubwa.
ReplyDeletePumbavu sana, huna adabu kabisa kutudanganya watu wazima. ujifunze kuwa sio kila kitu unachopost we ndo wakwanza kujua!!
ReplyDeleteWEWE NI KUKU WA KUCHORA!!!!! **#MXiuuuiiuoo*******!!!!!!
dah me mwenyewe niliona kupitia facebook hao watu wamefariki tena ni familia moja....hey admin ur responcbo 4 this y lying to us....sina iman na wewe pamoja na website hii...
ReplyDeletewebsite DHAIFU
adminstrator DHAIFU
Hawa wa2 wa blog wanacopy na ku paste...hizi picha niliona kwingine na habari nyingine tofauti....sasa huyu mwenye UDAKU SPECIALLY ametoka wapi na hii habari...hakuna lolote full UONGO.
ReplyDeleteMpuuzeni tu huyu mwenye hii Blog, hajui atendalo jamani... Akili zake, mawazo yake, vyote anavyoviwaza ni dhaifu sana..
ReplyDeletemwongo mkubwa wewe
ReplyDeleteA BIG CHEATER I WILL NEVER BELIEVE THIS BLOG
ReplyDelete