Bomu Arusha:Emarati Waitaka Tanzania iombe Radhi Kwenye Vyombo vya Habari Kuhusu Raia Wake

 
Kufuatia kuzuiliwa kwa raia wa kigeni (UEA) nchini Tanzania wakihusishwa na kadhia ya mlimpuko wa Bomu huko Arusha....UAE imeitaka Tanzania kuomba radhi kwenye Vyombo vya habari...na wamekwenda mbali hata kutishia kuvunja uhusiano wa kibalozi. Leo Waziri Membe kutua Arusha
    Source: Wakili wa ndugu wa familia akizungumza na BBC 

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wasilete mambo yao bhana na wasitutishe bhana walishukiwa ila hawakutajwa kuwa ni wao so waache hizo mambo bhana

    ReplyDelete
  2. tatzo mnawash2m waarab ni magaid..arusha 2ko na wazungu na waindi kibao wanaingia na kutoka everyday..kwann wacwashobokee mpaka waende kwa warab

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mm hapa ndipo nnapo pataka nyinyi watanganyika mnaudini ndio unaokuandameni mmezowea kuigandamiza zanzibar kwakua waislamu haya sasa mnaanza kuazirika na bado nyama nyinyi mpaka muiwache zanzibar huru washenzi wakubwa

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad