Naandika nikiwa na kilio cha jitimai na majonzi yasiyoisha milele.
Mwezi desemba mwaka jana nimefunga ndoa na mke wangu.
Lakini tangu tufunge ndoa nikawa na mashaka na mwenendo wa mke wangu.
Wiki mbili zilizopita nilipata jambo la ajabu. Mke wangu kaniambukiza ugonjwa wa ngono. Nilipomuuliza akadai kuwa hajui amepataje.
Nikimweleza twende hospitali anakataa. Nimeenda nikatibiwa na naendelea na tiba.
Juzi usiku nikiwa nataka kupata ukweli nikaja nyumbani na kumwomba tuongee chumbani. Nikatumia mbinu ya kijeshi nikatoa bastola yangu ambayo hajawahi kuiona hata siku moja na nikaanza kumsaili.
Mke wangu akanitajia orodha ya wanaume aliotembea nao ktk kipindi hichi cha ndoa ya miezi 5 inatisha. Katembea na wanaume sita tofauti.
Nilijikuta napoteza nguvu na fahamu. Nilipozinduka mke wangu kadai tutengane kwani dhambi aliyonitendea haipaswi kumsamehe.
Kila baada ya kama masaa 3 napoteza fahamu. Ndugu zangu hawana taarifa. Lakini ndugu na wazazi wa mwanamke wanajua kinachoendelea.
Ni ngumu kuamini ktk hali ya kawaida lakini najikuta kila akija mwanamke akija kunijulia hali nataka kuzimia tu na napata hasira.
Sitofika kupenda tena na nawachukia wanawake hata mama yangu mzazi aliyenizaa.
Kwa Hili Nitawachukia Wanawake Milele. Na Sitowasamehe.
27
May 10, 2013
you cant hate your mom no matter what your did jus pray to your almighty God n time will heal the wound
ReplyDeletePole xana mkuu ila uckate tamaa kiac cha kumchukia hadi mama yko,
ReplyDeletehyo ni changamoto ya maisha ya ndoa cha mcngi ni kujitahd kusahau yaliyopta na kuganga yajayo...
pole jembe.. Maadama mama nae ni mwanamke nakuunga mkono kuwachukua madem.. Wanawake ni washenzi nawachukia wanawake wote hata mama angu namchukia sana..
ReplyDeletewacha kuunga mkono mambo ya kumchulia mama yako bila ya mama ungezaliwa stop ur nonsense
Deletepole mwana tena fanya siku ya mama dunian kumnunulia mama ako zawad nzur coz bila mama usingekuepo den piga moyo konde .... no one lyk mama
ReplyDeleteWanawake ni wapungufu wa dini (Nakas Deen) na Wanawake wajanja sana (Inna keyda hunna Adhim) hiyo ndio ilikua Bahati yako,na Majaliwa yako lkn Mama usimchukie hujui labda hata huyo Baba si wako Janna iko chini ya Miguu ya Mama kinyume cha hapo Uwe Hommo (koum Loot)
ReplyDeleteadn c any convncn lament...@fams jamaa amekuwa aki-xpct hypr kutoka kwa huyo mwanadada..aaf kapaniki angemkaushia2,,aaaf dem angejiongeza mwenyw!!..ni mtazamo2!!
ReplyDeletepole ndo maisha ila kuchukia wanawake woote haisaidii ingekuwa hvyo watu tucngesalimiana kwan na wanawake wapo kbaooo tuliotendwa na wanaume ila dunia inatakiwa isonge cz km umekamilika lazma utahtaji tendo
ReplyDeletemimi nilifikiri ka kuua kumbe gono tu , you must be crazy mama ana special class, you can't compare her with that worst changudoa , nyinyi mnajifanya masharo na mnapenda ma sister doo, wenye heshima zao mnawaona washamba , pole kwailo ila sitakuunga mkono kwa kumchukia your innocent mom
ReplyDeleteumeshaathirika kisaikolojia kaka, pole sana. Sasa jaribu kukubali tatizo theni Muombe Mungu akutie nguvu alafu kusamehe ni ki2 cha muhmu sana. Mana ucposamehe unapata dhambi mana pia Mungu we2 ni mwenye huruma na ni mraisi ku2samehe. Siyo pia chuki haijengi inakubomo. Muombe Mungu akupe ujasiri na nguvu katika hilo
ReplyDeleteAkina Uwoya wapo wengi. Nadhani wewe pia ulichagua mke kama Ndikumana alivyofanya, ukajikuta umepata mke kama Uwoya. Pole sana
ReplyDeleteHuyo aliyetendwa na huyo chizi anaye mpa surpport eti kumchukia mama yake mzazi kwa ajili ya kimeo chake alicho zoa, waende wakaombe radhi kwa mama zoa kwa hilo tamko walilotao.KWANZA WAMESHALAANIWA HAO KWA KUTAMKA TU!!!!Ushauri wa bure hata kwa wengine, UKITAKA MUME MWEMA AU MKE MWEMA PIGA GOTI OMBA KWA MUNGU. MNAPENDA SANA KUCHAGUA KWA MACHO, SHUZI SASA LAKUTOKA. TENA USHINDWE KWA KUSEMA UNAWACHUKIA WANAWAKE CHUKI HUYO HUYO KIKWEKWE CHAKO ULICHO KIPAPATIKIA KUMBE UMEI
ReplyDeleteNGIA CHOO CHA KICHAKANI UTACHAMBA NA MAJANI KAMA SI MCHANGA.
atachambia upupu hahahaaaa
Deletepole kaka ila bora wewe. mimi mke wangu alikuwa anamegwa kinyume na maumbile (kufirwa) na wanaume watatu tofauti je nami pia tamchukia mom.hapana siwezi.
ReplyDeletePole.rudi kwa Mungu wako,tubu kwa ukiri mbaya wa kumchukia mama,then kaa magotini tafuta uso wa ,Mungu atakuvusha hapo.usikurupuke tena kuoa bali mke mwemaa anatoka kwa Bwana.Jipe moyo mkuu,huyo hakuwa mke bali chombo cha starehe.Naye msamehe aende na maisha yake.
ReplyDeletesijapenda kauli ya kumchukia hata mama mzazi why wamekutana huko wenyewe wakapeana madudu pasipo uwepo wa mama then anamwingiza mama ktk ndoa yao!
ReplyDeletesome wanatamaa sana ............................ya maisha but Mungu yupo
ReplyDeletehata mimi namshukuru Mungu sikufunga ndoa but be carefull njoo kwa YESU
Daa pole xana kaka uyo mpe talaka tu
ReplyDeletein god we trust achana na zama za chuki kwa wazazi kwani demu mwenyewe inaonyesha umekutana nae casino ukatangaza nia kwake kwa statement zako zinavyo onyesha kabla ya kumwoa bado ulikuwa humwamini kwa nini ulimwoa mtu ambaye ni bingwa wa vituku uchochoroni hilo ni fundisho braza
ReplyDeleteNnafiki mkubwa wewe!!!!! Kati ya mwanamke na mwanaume nani malaya? MKUKI KWA NGURUWE KWA BINADAMU NI MCHUNGU KWELI KWELI!!!! UPUUZI HUO UNGEUFANYA WEWE MWANAUME,UNGESEMA OOHHH MI KIDUME OOOHHH MI NI DUME LA MBEGU. SASA KAFANYA MWANAMKE UNASEMA KUWA OOOOHHH WANAWAKE WANAWAKEEE WANAWAKE BANA""""""""""" SI UNAFIKI HUO.TENA SIKU NYINGINE USIDIRIKI KUMFANANISHA MAMA MZAZI NA HAO VIBAKA WAKO UNAOKUTANA NAO MALIWATONI.
ReplyDeleteNI HIVI KWA UFUPI UNAPOAMUA KUFANYA JAMBO LAKO LOLOTE LA UKWELI JARIBU KUMSHIRIKISHA MUNGU. MUNGU ANAJIBU MAOMBI SIKU ZOTE. MUNGU HAMTUPI MJA WAKE. UKIONA MUNGU HAJAJIBU BASI UJUE KUWA ANAKUADHIBU KWA MADHAMBI YAKO. BASI KAKA UNAONEKANA KUWA WEWE NI MTAALAMU SANA WA WATOTO WA WATU NDO MAANA MUNGU KAKUPA SHETANI MWENZIO. BASI USIKASIRIKE SANA KWANI HAPO MMEKUTANA WOTE NI WAUNGWANA NA NI WAKARIMU( NGOMA DROO)
Pole dia walimwengu ni wabaya sana! wakati mwingine hata hata ujitunze vipi ni kazi bure tu. Pole
ReplyDeletechintu noma hiyo, tupa kule takataka MTAKE RADHI MAMA YAKO
ReplyDeleteJinga sana ... malaya anakufanya uzimie ... ungemgeuza ukapiga nyuma bao tatu ndani kwa ndani halafu ungepanua kei yake ukaitemea kohozi zito then achana nae
ReplyDeleteDah!! ni kwel man Ata mim nawachukia sana WANAWAKE since are ALL Contaminated in dis world but kumchukia Mama mzaz ni dhambi kubwa ambayo haina mfano wake,,,,cha msing ni kuchukia kila mwanamke ambaye unaweza kuwa na mahusianao nae ya kimapenz but acwe ndugu ako.
ReplyDeleteKazi kwelikweli.!!!!!!!!! unataka upako wa omega wakati wa alfa hukuutaka. Wanadamu tuache kutegemea akili zetu. samehe bure kuna watu wamekutana na makubwa zaid yako lakin hawakumchukia mtu. msilaum xana dada zetu kila mtu ni mkosaji maana hata wadada wanasema wanaume hawa.tutalaumiana hata lin?
ReplyDeleteukome me mwenyewe nyie wanaume ndo mna2fundisha umalaya afu eti wanawake ni malaya malaya ni nyie coz mke wako hayo mapenzi c anayafanya na wanaume wachukie walikumegea mkeo wachukie wanaume wenzio ukome nimefurahi sana ulivyotendwa mbwa we mapumbu yako
ReplyDeleteFirst n formost "MAMA NI MAMA" helewa hilo kwanza.
ReplyDeletePole na janga maisha tu hayo,anaye mtetea huyo dada ana matatizo.ushaolewa wote wa nn mtu? Sasa hao 6 wote hawajui kutomba vizuri au kuudumia? Ni ujinga tu kama kataka taraka mpe .
Tatizo watu wanaoa na kuolewa for wrong reasons hamuwezi kudumu
"Ushauri wangu, chukia wanawake but siyo uchukie kuma"!!!