Lady Jay Dee "Movie ndio linaanza sasa ile ilikuwa Trailer" Team Anaconda no surrender

"Kama mtakumbuka niliahidi kutoa awamu ya pili tar 15 au 17 May na ahadi ni deni..Japo naona mbali ila Nitafanya hivyo, bado nina mengi sana ya kuzungumza kuhusu Ruge na wenzake...Ile ilikuwa ni trailer tu, Movie ndio linaanza sasa #TeamAnaconda no surrender" Lady Jay Dee

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kweli mdada umekamia!

    ReplyDelete
  2. Eeeeeh yamwage tu mpaka kieleweke

    ReplyDelete
  3. woyoooooooo.....

    ReplyDelete
  4. Hivi huyo ruge ana matatizo gani jamani ,nafikri takukuru wanatakiwa kubisha hodi kwa hili jamaa

    ReplyDelete
  5. mi ningekushauri mkae muyaongee

    ReplyDelete
  6. johanness amani6 May 2013 at 14:45

    Hamna lolote wote wanajuana na kutafuta umarufu

    ReplyDelete
  7. Hana lolote Uyo Lady Jaydee Kosa Ruge Na Kusaga asinge fika hapo halipo walimbeba kwa mengi tena yeye ndio aliyekua analipwa Ela nyingi katika kila shoo wanaianda hata albam Yake walikua wanainunua Bei mbaya yaani alisimia 99 ya Maendeleo ya jaydee yametokana Na Ruge Na Kusaga.Kwangu hana mpya Jide ni binadamu aliye kosa Fadhira kama Kweli aliona wamemkosea angetumia Busara Kuwa watafuta kumaliza tofauti zao,Kama wangekataa Basi angetumia Watu wao wa Karibu ili kumaliza Tofauti zao Kuendelea Nao Na majibizano Redion Na Mtandaona huo ndio mwisho wa Muziki wa Bongo Freva mwanamuziki Mkubwa Kama Jidee kioo cha Jamani inasikitisha kukosa kwa Busara,Marumbano ayajengi Jidee Kaaa chini kumaliza tofauti zako Na wao

    ReplyDelete
  8. kasema mwenyewe asubuhi kwamba hizi ni mbio za vijiti,so kila lenye mwanzo halikosi mwisho,this is the end acha wamchane,wasanii wananyonywa xana na clouds chini ya usimamiz wa hyo bwana,so let them count on him,JDEEEE MACHOZI YA MIAKA 13 muogeshee huyo bana

    ReplyDelete
  9. Hta kama asilimia kubwa ya mafanikio ya Jdee ni kutokana na hao watu hao wawili, co sababu ya kumbottleneck Lady Jdee, kumsaidia mtu co sababu ya kumkandamiza akishafanikiwa,shit hii kitu,aongea mengi ruge ila kuna kitu ndani yake,lady jdee co taahira,ni mtu na akili zake,still there iz smthing going arround

    ReplyDelete
  10. Mm naamin jdee ni m2 mwenye busara,so busara zi2mike kumaliza jambo hili.

    ReplyDelete
  11. Nimemsikiliza Ruge leo power breakfast,ameset out issues very clearly,na nilicholearn ni kwamba Ruge ana tools of analysis zinazolead to research value ya problem mara 100 ya Jide anaetaka watu waione clouds mbaya bila kuset out issues with facts.mtu yoyote mwenye uwezo wa kawaida aliemsikiliza Ruge atajua hakuna ishu ya maana inayokua raised ia jide.nashauri kama jide hajui kuaddress problem yake atumie hata wakili coz shez damn down,poor her

    ReplyDelete
  12. hamna jipya

    ReplyDelete
  13. Jide sio wa kwanza. Hata kina sugu na vinega walimlalamikia huyu mtu. Inawezekana kweli ana matatizo.. Kila kitu kina mwisho. Labda huu ndo mwisho wa unyonyaji. Go jide go jide gooo

    ReplyDelete
  14. joto hasira tu! aiwezekani mtu mmoja ukawa na bifu na wasanii 2 au 3 tofauti kazima unatatizo. sasa mtu mwenye busara kamjibu jide hasira kamalizia kutokupiga bongo flava inahusu nini? au anaonyesha ubabe? wasanii mtafakari sana

    ReplyDelete
  15. achana nayo jd fanya kazi zako ivyo ni vitu vido vido sana wala avi kufanani songa mbele usipoteze muda wako bure mafanikio yako naya ona ni mengi tu mbeleni

    ReplyDelete
  16. Yes..weka wazi ili matatizo katika industry yatoke...watu kama hao waweza kuta wanaplay part kubwa sana ya wasanii kunyimwa haki miliki nakufanya msinufaike na kazi zenu kama Waganda..mlitakiwa kua juu zaidi ya #JoseChamillion

    ReplyDelete
  17. Jide sema, semaa usiogope semaa,wasanii wanahitaji mageuzi semaa!!! Hili ruge linamatatizo why yy kila siku alaumiwe na kila msanii, hata kama walimpush ni kipaji chake,kama rahisi aimbe yy na kusaga,bwabwa kubwa hili, na nyie wasanii amkeni kwani clouds ni nani? Ww ruge utakufa mdomo juu kwa kuufisadi wako,sura baya

    ReplyDelete
  18. hii nchi huru wajamen c lazima ukubalike na kila m2 so 2ache lawama kwa yyt cz ruge na jide ni mafahari2 xo vita vyao wananchi 2c judge yyt bt cc 2pate burudani zao2,WANAJUANA HAO JAMANI SO TUWAACHE...wanaoipenda Clouds wazidi kuipenda vivyo wanaompenda jide wazidi mpenda mengine 2mwachie Baba na Mama

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad