Serikali leo bungeni kupitia tume ya waziri mkuu imefuta matokeo ya kidato cha nne na kusema kuwa mitihani itasahihishwa upya
SWALI LANGU NI:> "*KAMA WATASAHIHISHA MITIHANI HIYO UPYA MATOKEO YATAKUWAJE KWANI WALE WALIOKATA RUFAA NA KUSAHIHISHIWA MBONA MATOKEO YAO HAYAKUBADILIKA, NA KAMA HAYAKUBADILIKA NA WALISAHIHISHA WATAKUWA WANASAHIHISHA NINI TENA AU WALIKUWA WANA MAAMUZI HAYO LAKINI WAKASUBIRI KWANZA WALE PESA ZA WAKATA RUFAA NDIO WATOE MAAMUZI HAYOO*"
Naona kama mizengwe vile jambo moja kurudiwa rudiwa mara kibao
Maoni kwa wizara ya elimu; Kwa wale waliokuwa wamefaulu wangeendelea na masomo kwani muda wao wa masomo unapotea bure alafu ndo wafuatilie kwa wale waliofeli
Nionavyo mimi; WANATOA MAAMUZI HAYO NA KUWAPOTEZEA MUDA WALE WALOFAULU KWA KUWA WAO WALISHASOMA
Asanteni
Matokeo ya kidato cha nne yafutwa hii ndo bongo bwanaaa
4
May 03, 2013
Tags
wanasema madaraja wataweka yale ya zaman..yani D itaanzia 21 badala ya 35
ReplyDeletekukata rufaa ni mtaji 2 umewekwa na hamna ki2 chochote watakachofanya zaid ya kugawana izo pesa za kukata rufa na ni zaid ya wanafunz buku 10 wamekata rufaa na hakuna hata mmoja ambaye matokeo yake yamebadlika..sio wapumbavu matokeo yangebadlika kwenye hayo ya rufaa c wangeonekana hapa kuwa na umakin ktk kusahihisha..hata hivyo walifeli coz alama za ufaulu zilipandishwa bla ya wanafunz kutarifiwa mapema hata iwape force kiasi flan ktk kuongeza jitihada za kusoma..wanarudia kusahihisha na wanasema wata2mia madaraja za zaman D kuanzia 21 tofauti walivyo2mia sasa D kuanzi 35 na C ilianzi 50..angalau matokeo yatabadlika kiasi flan
ReplyDeletenzuri saaana big up serikal kwa uamuz mzur wa kuwasaidia vjana we2
ReplyDeleteMdau hiyo ni mbaya sana kwani tutapata wataalam feki.
ReplyDelete