Habari ambazo ni tetesi zinasema kwamba umoja wa mashirika yasiyo ya
kiserikali yakishirikiana baadhi ya wanasheria nguli hapa nchini wapo
katika hatua za mwisho kuandaa kuweka court order itakayozuia
utekelezeji wa kauli ya serikali ya kufuta matokeo mpaka hapo kesi ya
msingi itakapoamuliwa na mahakama.
Mashirika hayo yanadai serikali kupitia waziri Lukuvi haina mamlaka ya
kufuta matokeo hayo na pia matokeo mabovu hayatokani na sababu
alizozitoa waziri.
My take:
Kwa kipindi hicho ambacho mahakama itazuia utekelezaji wa kauli ya
serikali nini itakuwa hatma ya watoto hawa? muda wa kwenda form 5
umefika na wengine wanaendelea kure-seat na wengi wanajipanga kwenda
veta,
Habari ambazo ni tetesi zinasema kwamba umoja wa mashirika yasiyo ya
kiserikali yakishirikiana baadhi ya wanasheria nguli hapa nchini wapo
katika hatua za mwisho kuandaa kuweka court order itakayozuia
utekelezeji wa kauli ya serikali ya kufuta matokeo mpaka hapo kesi ya
msingi itakapoamuliwa na mahakama.
Mashirika hayo yanadai serikali kupitia waziri Lukuvi haina mamlaka ya
kufuta matokeo hayo na pia matokeo mabovu hayatokani na sababu
alizozitoa waziri.
Matokeo yaliyofutwa sasa kuzuiliwa Mahakamani
3
May 05, 2013
Tags
hayo mashilika na viongozi wao hawana watoto wa kidato cha nne ndo maana ya nafanya hivyo k*m* was*ng* sana
ReplyDeletek.z.m.z cjui akili zao zko wap hawa wasnge
ReplyDeleteKumamae Zao Hao Wanadhani Sisi Wahusika Tunapenda Hayo Matokeo Ya Awamu Ya Kwanza?
ReplyDeleteSerikali Futeni Bhana Tena Fasta