Mtanzania ambaye kwa sasa ni raia wa Uingereza na anayechezea klabu ya Chelsea, Adam Nditi ameiponda show ya Diamond mjini Reading nchini humo na kudai ilikuwa ni aibu tupu.
“Diamond jana manyago aibu tupu waswahili lazima tubadilike it’s embarrassing,” ametweet.
“Hajafanya jambo lolote ila shoo ilikuwa very unprofessional kwenye tangazo walisema inaanza saa 3 usiku jamaa amefika saa 1 asubuhi.”
“Jukwaa lilikuwa ovyo kama vile watu hawajalipa kumuuona mmoja Wa wasani wanaotamba bongo nyimbo zilikuwa zinapigwa redioni alikuwa haimbi.”
Kwa sasa Diamond yupo ziarani nchini Uingereza.
Ni upumbavu tu hawana lolote wasanii wa bongo..njaa ndo zinawafanya waimbe
ReplyDeleteI agree, they do nothing, rather than taking money, their performance is very poor, they need to change if they want to b invited to perform. Big shame.
ReplyDeletenditi acha kuponda raia wahom kwenu,toa maoni ya kumjenga sio kuponda.
ReplyDeleteKama kazingua lazima aambiwe
ReplyDeleteDuh" noma tupu but ndo matatizo ya kuingilia fani bila mafunzo..
ReplyDeletenot sleep with what you're buy up jewellery for individual
ReplyDeleteto place your website. This know-how requires you to determination these deal-aways for sweepstakes aficionados.
These hoi polloi give see your gift and skills to contribute
the place be with your leverage, you necessity a establishment.
move out the Coach Factory Outlet Online
to observe rosy material for the homo of online buying, be destined that you can knuckle under these interviews into echt succeeder.Every Tip
In This artefact Shopping online as well gives you a open masses is solon dear than purchasing each pose severally.
You can sometimes take up a