Habari zenu wakuu!
Huwa kuna jambo linanichanganya kweli!unakuta kijana wa kiume amemaliza
chuo kikuu,anafanya kazi kwa miaka kama mitatu hivi ila cha kushangaza
bado anakaa kwa wazazi!kibaya zaidi wengine unakuta wanakaa kwa ndugu
very comfortable!
Kinachonikera hawa vijana ndo wa kwanza kujishaua mjini hapa kwenye starehe!
Anyway labda mimi najudge vibaya ila wenzangu kijana kama huyu mnamchukulia kama mwanaume au mvulana?
Mwanaume tu kwan kukaa kwa wazazi huku unaset mambo yako fresh c shida ila usijisahau
ReplyDeletemimi mama yangu hataki niondoke home ananiambia bado mdogo,ila nna degree,kazi yangu inatosha kuanzisha maisha ila ndo bi mkubwa kagoma mie nifanyeje?
ReplyDeleteWewe mtoto wa fisadi utakuwa
Deletemimi mama yangu hataki niondoke home ananiambia bado mdogo,ila nna degree,kazi yangu inatosha kuanzisha maisha ila ndo bi mkubwa kagoma mie nifanyeje?
ReplyDeleteWewe inakuhusu nini mambo yako umemaliza unahangaika na ya watu
ReplyDeleteNi ubwege tu hamna kingine, ina maana hata unapotaka kujirusha na kimwana lazima ufanyia hapo nyumbani some time, sas huoni wazazi wako wadogo zako au dada zako wanaukuelewa vibaya hata kama umesoma vip.
ReplyDeleteSi vibaya kama wazazi ni wazee na wanahitaji msaada wako wa karibu kama kijana,kwani ukihama wataona kama watakosa msaada wa kaeibu,nimeshidia rafiki yangu akitaka kutoka kwa wazazi lkn wzz hawataki!
ReplyDeletekodi shikamoo ndo imewalemaza
ReplyDeleteinategemea na mazingira ya nyumbani ambayo ni hali ya uchumi, umri wa wazazi pamoja afya yao kwa ujumla hivi ndivyo vigezo ambavyo vinasababisha kwa asilimia kubwa kijana kushindwa kutoka kwa wazazi wake.mbali na hayo basi uyo kijana ni mnyonyaji kwani wazazi wamemlea kwa kipindi chote hicho kwa hiyo kuendelea kuishi kwao ni mzigo ambao huyu kijana anawapa wazee wake.
ReplyDeleteNi uboya xana kuzeekea hom.
ReplyDelete