Producer mwenye historia kubwa na ya kipekee katika muziki wa Bongo Fleva P-Funk Majani ameonesha kumuunga mkono Lady JayDee na kwamba anadhani ni muda sasa wengine wakafuata nyayo zake, yeye mwenyewe majani amemhakikishia Jide kuwa yuko nae “Count Me in”.
Ameongeza kuwa endapo wasanii na watayarishaji wa muziki wakiungana hakuna kitakachowazua isipokuwa Mungu.
Hizi ni Tweet za P-Funk Majani za May 4:
@JideJaydee I think its really high time others follow in ur Footsteps!! Count Me in!
Neno la P-Funk Majani kwa Lady JayDee Kuhusu Beef na Radio Clouds ni Hili
5
May 07, 2013
Good move from the legend..
ReplyDeleteLeo nafurahi kuona kama watu wanafunguka na kuanza kuona unyonyaji wa jasho la mwanahalisi nina maana ya Mtanzania mwenye mlo mmoja kwa siku, mwanzoni kuna baadhi ya watu walimuona Kamanda Incharge Mr.Sugu the "Don" akipambana na hawa Clauds kama vile mnafiki na mwenye wivu sasa nashukuru kwa manguli wengine kuomnyesha support kwa wanaharakati wengine wanopigani jasho la wanyonge lisiliwe bure na akina Ruge & Company, KITAELEWEKA TU SIKU MOJA. Amen.
ReplyDeletejamani wasanii muamke sasa, kwa kuwa mmenyonywa vya kutosha. Kwa asilimia zote namuunga mkono Jide kwa kuonesha mwanzo mzuri. Keep it up komando machozi. Pamoja sana.
ReplyDeletejide jana kafunguka vitu vya maana sana.....kiukweli anauma sana kuona chanzo fulani kinatumia nguvu zake kunyonya wasanii huku kikijifanya ku suport kaz za wasanii..nnouma kweli.
ReplyDeletekumbuka uliko toka jide bila hao usingekua hapo ulipo
ReplyDelete