Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani ilisema
Rais huyo, anatarajiwa kuwasili nchini Julai Mosi kwa ajili ya ziara ya
siku tatu hadi Julai 3 mwaka huu ili kuimarisha uhusiano baina ya nchi
hiyo pamoja na nchi za Afrika. Msafara huo utajumuisha watu mbalimbali
wakiwamo wafanyabiashara.
Obama ‘Afunga’ Hoteli Katikati ya Jiji Dar es Salaam
6
May 26, 2013
Wakati Rais wa Marekani, Barrack Obama akitarajiwa kuwasili na
msafara wa watu 700, baadhi ya hoteli zenye hadhi ya nyota tano jijini
Dar es Salaam zimeanza kusitisha kupokea wageni kutokana na ujio huo.
Tags
Welcome in Tanzania and help our country to grow up economically as your president of the whole world.
ReplyDeleteHamna lolote bali ukoloni hapoo huyu kichwa cha nazi zabagamoyoanatuletea mambo ya chief mangungu
ReplyDeleteWelcome
ReplyDeleteIs it Julai or June be specific plz
ReplyDeleteWadau kuweni "wise" obama hana lolote la kuisaidia Africa bali wanataka kuiba rasilimali zetu tu. Tangu gesi igunduliwe nchini tumekuwa tukipokea wageni mbalimbali kama Xin ping na washirika wengine watajileta tu. Tusubiri tuone jinsi tunavyouzwa bila kujitambua
ReplyDeletekaribu sana ila watanzania kuweni makini
ReplyDelete