Tunakoelekea Watanzania sasa ni kuchochea vita.... Tena vita hivi itakua ya Kidini hii ni mbaya sana.. Mi nadhani wanaokamatwa kwa matukio haya wanyongwe tu kutia adabu kwa wengine
Vita vyetu si katika damu na nyama bali vita vyetu ni katika roho nawaombea sana wahanga wa tukio pia na viombea na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ili mungu awatie nguvu pia mt
Poleni Sana Mungu awajalie majeruhi wapone kwa jina la Yesu, Na wote waliofanya haya basi damu walizozimwaga zisizo na hatia zitawaangamiza wao na vizazi vyao watateketea milele kwenye jehanam.Ameen
Hizo ni dalili mbaya za mapigano ndani ya nchi,kiukweli tanzania tuijuayo sio hii ya leo kifupi ni kwamba tunako elekea sio kuzuri,wakati tunasema mungu tunusuru nazani ni vizuri pia kuepuka na vitebdo vya uchochezi na ikiwezekan basi tutoe taarifa sehemu husika ie police kwan wahalifu na wachochezi tunao miongoni mwetu
mtoto ukimchekea atakushika makalio mbele ya watu!! Yote haya yanaangaliwa tu na viongozi wetu. matokeo yake yataonekana pindi watulivu watakapo shindwa kuvumilia na kujibu upuuzi wa wenzao. viongozi wawe makini kwenye hili
Hakuna wa kulaumiwa zaidi ya JAHKAYA kwani yeye ndiye aliyeustawisha udini kwa nguvu zote, kama alifikia kuwasimika wakuu wa police wa mikoa yote tanzania waislamu alikuwa na lengo gani km sio udini? Makanisa yamechomwa weee yeye km prezo alitoa tamko gani? Hata aliemuua padre hapa zenji tunaambiwa hana hatia, idiot! Ametupandikizia chuki miongoni mwetu na huenda ikadumu milele. Anyway labda lilikuwa kafara la uongozi wake.
itafahamika tu!!! poleni sana wahanga wa tukio la bomu inshaalah mwenyezi mungu atawalinda!
ReplyDeleteMUNGU AWAPE NGUVU NA MPONE HARAKA. WAHANGA PP
ReplyDeletePOLENI WAKAZI WA ARUSHA.
MUNGU AWAPE NGUVU NA MPONE HARAKA. WAHANGA PP
ReplyDeletePOLENI WAKAZI WA ARUSHA.
Sijui twaeleke wapi, ee Mungu tuokoe wana wako. Poleni sana damu ya Yesu iwaponye!
ReplyDeleteTunakoelekea Watanzania sasa ni kuchochea vita.... Tena vita hivi itakua ya Kidini hii ni mbaya sana.. Mi nadhani wanaokamatwa kwa matukio haya wanyongwe tu kutia adabu kwa wengine
ReplyDeleteVita vyetu si katika damu na nyama bali vita vyetu ni katika roho nawaombea sana wahanga wa tukio pia na viombea na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ili mungu awatie nguvu pia mt
ReplyDeleteHe mungu wajalie wote wapone haraka
ReplyDeletePoleni Sana Mungu awajalie majeruhi wapone kwa jina la Yesu, Na wote waliofanya haya basi damu walizozimwaga zisizo na hatia zitawaangamiza wao na vizazi vyao watateketea milele kwenye jehanam.Ameen
ReplyDeleteTunakoelekea c kuzuri vita vyote ni vibaya lakin vya dini ni vibaya sana!
ReplyDeleteEeh Mungu Baba tunusuru watoto wako kwa maana nguvu ya mpinga kristo inataka kurikumba kanisa lako.Na ALANIWE MSHIRIKI WA TUKIO HILO.AMEN
ReplyDeletetunaelekea kubaya jaman!...
ReplyDeleteHizo ni dalili mbaya za mapigano ndani ya nchi,kiukweli tanzania tuijuayo sio hii ya leo kifupi ni kwamba tunako elekea sio kuzuri,wakati tunasema mungu tunusuru nazani ni vizuri pia kuepuka na vitebdo vya uchochezi na ikiwezekan basi tutoe taarifa sehemu husika ie police kwan wahalifu na wachochezi tunao miongoni mwetu
ReplyDeletemtoto ukimchekea atakushika makalio mbele ya watu!! Yote haya yanaangaliwa tu na viongozi wetu. matokeo yake yataonekana pindi watulivu watakapo shindwa kuvumilia na kujibu upuuzi wa wenzao. viongozi wawe makini kwenye hili
ReplyDeleteHakuna wa kulaumiwa zaidi ya JAHKAYA kwani yeye ndiye aliyeustawisha udini kwa nguvu zote, kama alifikia kuwasimika wakuu wa police wa mikoa yote tanzania waislamu alikuwa na lengo gani km sio udini? Makanisa yamechomwa weee yeye km prezo alitoa tamko gani? Hata aliemuua padre hapa zenji tunaambiwa hana hatia, idiot! Ametupandikizia chuki miongoni mwetu na huenda ikadumu milele. Anyway labda lilikuwa kafara la uongozi wake.
ReplyDeletethis is typically terrorism. na tukitaka mataifa makubwa yatusaidie kwahili inabidi tuhalalishe ushoga
ReplyDeleteNothing gets solved through violence.let's not hate each other,hurt each or punish each other because of some few people who are irresponsible.
ReplyDeleteyanazidi kuongezeka,geita,zanzibar,mbagala lakini majibu ya nini chanzo bado hayajulikani tunaelekea wapi?
ReplyDelete