Nice Go Go girl kwa joto la hapa Tz hata hizo nahisi ni kujikera mwili unataka upitishe hewa ongera ndugu yetu waoneshe hao washwahili maendeo na sio kuficha urembo waliobarikiwa
Lulu umependeza sana ila angalia sana urembo wako usikupoteze,unweza fanya mambo makubwa sana ya kimaendeeleo huku ukiwa unajiheshimu.uzuri wa mtu haujifichi hata usipoonyesha paja.ni hiari yako..bado u mdogo unweza jiendeleza kishule zaidi hata ukiwa unafanya kazi zako zingine.elimu haizeeki ila mwili huwezi kuutegemea kukupa kipato maisha yako yote.kila la kheri bi mdogo.
Tatizo lipo wapi mbona kawaida tu
ReplyDeletekatisha na kutokelezea
ReplyDeleteNice Go Go girl kwa joto la hapa Tz hata hizo nahisi ni kujikera mwili unataka upitishe hewa ongera ndugu yetu waoneshe hao washwahili maendeo na sio kuficha urembo waliobarikiwa
ReplyDeleteAnony may10 at 2:01pm...so mapaja ni maendeleo???
ReplyDeleteLulu umependeza sana ila angalia sana urembo wako usikupoteze,unweza fanya mambo makubwa sana ya kimaendeeleo huku ukiwa unajiheshimu.uzuri wa mtu haujifichi hata usipoonyesha paja.ni hiari yako..bado u mdogo unweza jiendeleza kishule zaidi hata ukiwa unafanya kazi zako zingine.elimu haizeeki ila mwili huwezi kuutegemea kukupa kipato maisha yako yote.kila la kheri bi mdogo.