Ruge mutahaba atoa amri kwa wafanyakazi wake..Hakuna kupiga bongo fleva leo..
22
May 06, 2013
Kasema hivyo baada yakuzungumzia ishu ya Jide na Clouds na kusema ina
maamuzi yake na mfano ni leo hakuna kupiga nyimbo za Bongo Flava, kwamba Clouds ina maamuzi binafsi Kwasababu ni redio binafsi so kutopiga nyimbo za Jide ni maamuzi pia...Pia ameongelea kuwa kinacho mfanya lady jay dee Awashutumu ni maswala binafsi tu ikiwemo Band ya Skylight inayomilikiwa na mtangazaji wa Clouds FM kupata umaarufu mkubwa kwa sasa kuliko Band yake ya Machozi Band...So kumfanya Lady Jay Dee kuweweseka,.
Tags
haisaidii,,,kama anawanyonya wasanii kweli aache
ReplyDeleteRuge mbabaishaji tena mnyonyaji kwa wasanii ndiyo maana kumbe aligombana na Mhe.Sugu.
ReplyDeleteNimekusikiliza tangu ulipoanza kuzungumza hadi ulipo maliza mazungumzo, nimepata picha vizuri sana na nimegundua mambo sita kukuhusu wewe Ruge, 1. SI MKWELI 2. NI MKANDAMIZAJI 3. UNAWIVU 4. UNATAMAA 5. NI MBINAFSI 6. MNAFKI
ReplyDeleteangehojiwa na zembwela ingekuwa patam
ReplyDeleteHUFAI KUWA MWANAUME! UNATAKIWA KUWA WA KIKE COZ UMEFANYA MAAMUZI YA KIKE.
ReplyDeleteJay dee anaonekana ni kidume kakuchukulia bwana ako gadner,mwache dada yetu.
ReplyDeleteRoho mbaya wewe,utagombana na wasanii mpaka lini?kumbuka wewe siyo MUNGU,na kamwe huwezi kushindana na jide!huyo ni mwanamke wa kazi na si majungu kama wewe mwanaume jinsia tu.
ReplyDeleteRoho mbaya wewe,utagombana na wasanii mpaka lini?kumbuka wewe siyo MUNGU,na kamwe huwezi kushindana na jide!huyo ni mwanamke wa kazi na si majungu kama wewe mwanaume jinsia tu.
ReplyDeleteruge unatuzingua wadau
ReplyDeleteBado tutakunyoosha na antivirus movement,mnyonyaji mkubwa wewe!
ReplyDeleteUsipige bongo flavor kabisa tuone utamnyonya nani..
ReplyDeleteYap maamuzi ya leo na story nzima ndo nimeelewa naona story imebalance na kumbe hakuna ishu kubwa kama ilivyofikirika kaeni chini muyajenge
ReplyDeletetatizo la ndugu yangu Ruge ni Mshamba,haijui Dunia ilivyo,pia hana elimu ya kutosha na akizeeka lazima awe mchawi,hana upeo,hana khekima,anakurupuka tu.Kabla clouds tulikua tunasikiliza wapi hizo BL,basi usipige kabisa,kama si hayo juu basi ndugu zako wakupele kwa mganga India unamalaria ya kichwa au umelogwa. Umeaibisha mkoa wetu. Nafikiri hauna tofauti na diamond platnumz.
ReplyDeleteRuge ulimtongoza JD akakukataa au! mbona ushamba umekujaa?
ReplyDeleteUnajua hii ni rahisi sana kuelewa, hv kama clouds inaweza kuacha kupiga nyimbo za bongo fleva siku nzima kisa ni msanii mmoja tu, ambaye wanadai wenyewe ndiyo wamempandisha (kitu ambacho ni uongo mkubwa), inamaana awathamini kabisa mziki huu wa bongo, iweje upige nyimbo za sky lite band na kuacha nyingine? huku ni kutaka kuzidi kuwagawa wasanii, na kusababisha bifu za kipuuzi ambazo mwisho wa siku anayefaidika ni clouds.. na wasanii wa bongo amkeni jamani... hamuwezi kuendelea kama kila kukicha itakuwa ni kumtumikia mnyonyaji mmoja kwa kisingizio eti naye anaupandisha mziki wa bongo fleva.. hii inaonyesha clouds wanataka kufikisha ujumbe kwa wasanii wote wa bongo fleva kuwaaa wao siyo kitu kwa clouds fm na kwamba bila clouds bongo fleva hakuna ila kamwe clouds haitegemei bongo fleva... wasanii lazima muheshimiwe... siyo kuonekana kama wahuni na vijakazi kwa mafisadi wachache..
ReplyDeleteTabia ya kihay inakutesa,mnisamehe wahaya,linapenda misifa tu hili li Rugemalila
ReplyDeleteHili ruge roho mbaya na ufisadi ndio vinamsumbua, limeongea pumba 2 kujifanya fursa fursa za mavi, msimlau ma bwabwa always yako na roho mbaya, jiuso baya msunyoooo,this time mmeingia choo cha kike,kama mwanaume msipige maisha bongo flavour nyoko wewe, anaconda gogooooooo watz tuko na wewe,hiloooo kubwa jinga
ReplyDeleteRuge acha ubabaishaji wako. Kwa nini una roho mbaya ya kutopenda maendeleo ya wenzio? Naomba ujiulize ni kwa nini kila mara ugombane na wasanii, hapa lazima kuna kitu tu. Hebu jirekebishe.
ReplyDeletePendaneni kama amri kuu isemavyo acha mabifu na wasanii na wala usijione wewe ni Mungu mtu kwa maana MUNGU anaweza kukufanya chochote wakati wowote acha dharau kwa wasanii leo unamuona JD awezi kukusaidia kitu lakini kuna siku atakufaa.
ReplyDeletekuna waliokuwa maafufu sana na leo wako wapi? sioni aja ya wewe kuwekeana bifu na JD usipende kumkwaza mtu kwani malipo ambayo MUNGU atakupa ni mazito sana ndugu yangu tambua fedha ni maua uja na kunyauka usidhani wewe utaishi milele jaribu kuwa muelewa wa maisha alafu usipende kuweka vinyongo na watu na mikosi unajitafutia jaribu kukaa chini na kumshirikisha MUNGU maamuzi yako. umaarufu siyo tija tija ni je unafanya yanyo mpendeza Mungu? hata ulishe milima na usaidioe m aelfu kama una UPENDO ni bure hakuna thawabu kwa Mungu..
ReplyDeleteclouse ni chombo binafsi si cha selikal wanauwamuzi wao ....lakin kwann lady jay de na kwann sungu....jipange runge
ReplyDeleteHili kubwa jinga hili we kila cku kugombana na wasanii2 ,
ReplyDelete