Times FM waijibu Clouds FM leo Wenyewe Kupiga Bongo Flava Mwanzo Mwisho-Soma Tweet yao Hapa



Kwa Kutumia Kilicho chetu , Asili yetu na Muziki wetu leo katika vipindi vyote utaskikia muziki wa nyumbani wa BONGO FLEVA kwa asilimia Kubwa.

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tatizo la ndugu yangu Ruge ni ushamba,bado hajasitarabika na nilimshauri kwamba shule ni muhimu sana, angalia sasa unatuaibisha waitu, ushauli wangu wamwisho,tafuta wasomi (hasa wanasheria )wakushauri kabla na baada ya kuongea UNAHARIBU KABISA YAANI.

    ReplyDelete
  2. Kwa mwenendo huo clouds mnapotea.

    ReplyDelete
  3. mi nadhani huyu ndugu yangu hajatahiliwa ndio maana ana maamuzi ya haraka na ya kiburi,bepari la kichina hilo.

    ReplyDelete
  4. Mwisho wa ruge umefika,limeona aibu wasipige maisha kama mwanaume kweli, jamani shoga hiyo labda linamtaka mume ya jide,anakurupuka clouds jipangeni sana watz tumewachoka na roho mbaya zenu,likiongea kama zezeta kumbe shenzi kweli ruge kajipange, jamani wasanii komaeni mpk kieleweke,angalia kina lina shoo kibao bado hakuna la manaa zaidi ya kununua vibiriti vya kuuzia sura mjini

    ReplyDelete
  5. Mwisho wa ruge umefika,limeona aibu wasipige maisha kama mwanaume kweli, jamani shoga hiyo labda linamtaka mume ya jide,anakurupuka clouds jipangeni sana watz tumewachoka na roho mbaya zenu,likiongea kama zezeta kumbe shenzi kweli ruge kajipange, jamani wasanii komaeni mpk kieleweke,angalia kina lina shoo kibao bado hakuna la manaa zaidi ya kununua vibiriti vya kuuzia sura mjini

    ReplyDelete
  6. Mwizi mshenzi uyo! Kazikuzalisha tu watoto Wa watu.... Maninaaaa

    ReplyDelete
  7. Kwanini kila siku ni Ruge tuu!

    ReplyDelete
  8. Hivi kweli kama wewe ni Mwanaume aliyekamilika unaweza kuwa na Conflict na mtoto wa KIKE. Hawa Jamaa wachunguzwe vizuri

    ReplyDelete
  9. Hivi kweli kama wewe ni Mwanaume aliyekamilika unaweza kuwa na Conflict na mtoto wa KIKE. Hawa Jamaa wachunguzwe vizuri

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad