Wadada wengi wa mujini, Mimi binafsi nikiwemo, single na wake za watu
wakiwemo tunaishi maisha SO FAKE AND DANGEROUS. Standards are so high,
sanctions so strict, desire ya kukubalika na kumaintain status inatuua
na kufanya tusiolewe ama hata tukiolewa tusidumu. Ni hatari sanaaaa!
When i was like 12 form 1 my big sis alikuwa chuo na alikuwa ana mibuzi
kaipanga foleni! Wababa watu wazima, vikaka, waume za watu, purukushani.
I was so ashamed of her! Nilimuonaje bad influence! Enzi hizo nataka
kuwa Sister! Chezeya! Now looking at my Zigo La Zambi, i feel ashamed of
my self that i once was actually ashamed of my sister and like water i
followed the same course. SAD! SAD! SAD!
The roller coaster of life is too fast for us to catch up! Mtu ndo
mzuri, ushasoma bachelor na masters, kazi zenyewe majanga, mshahara
majanga plus plus, kwenu ndo majanga square na bado inatakiwa umaintain
status mjini hapa, kuchangia mashosti party, kuonekana viwanja, kumake
appearance kwenye social events, kuvaa pamba grade 1, upange hata room
1, sio kula kulala kwa wazee. Yaani ili u survive You Better Be Paid. N
the sister isn't paid. Kukubali kudeclare Bankruptcy nako kunataka roho
ngumu sio mchezo. Matokeo yake ndo unatafuta financing kwa sie wenye
roho za korosho.
Hapo ndo mwanaume kakuapproach humpendi ila ndo financing anaiweza, basi
unamuweka Zombi kumkubali hukubali, kumtosa humtosi, kila siku kukopa
wakati nia ya kulipa huna! Too much taking advantage of people. Hata
kama hulali nae sawa hujazini ila Mwizi na Mlaghai. Wanaume lukuki
unawamaintain kama backup plan!
Mtu unakuta kijana mwenzio mmeajiriwa wote juzi anakwambia njoo tuanze
maisha, wapiiiiii! Ukipiga hesabu kupanga upande wa nyumba kimara,
kujibanaaa, mtoto, harusi, unahisi kuzeeka ghafla! Mrs unapanda dala!
Hataaa! Roho haijipi kabisaa. Matokeo yake tunaparamia senior bachelors
waliojijenga siku nyingi kumaintain status. Hawa senior bachelors ni
migumegume iliyomshinda mtume ukiolewa unatesekaje sasa. Jst the nxt 10
yrs wale reject zetu wanakuwa washatoka kimaisha afu sie bado tunang'aa
sharubu! Majuto ni mjukuu siku zote. Mtu haolewi sio hajapata ila
Hajabahatisha Bingo!!!!!!!! Na wengine hata akiolewa mafiga matatu kama
kawa kufanikisha mambo nyumbani!
Tubadilike jamani!!!!!!!! For the better! Mungu Hapendi. (Mwenyewe
napenda kweli kubadilika ila kudeclare BANKRUPTCY sio masiharaa! Kila
nikijaribu kurudi kundini wapiiii!) Hahahaaaaaaaa!(Its not a laughing
matter and im ashamed of my self)
Ukijisikia Kutukana We Tukana Tu Upunguze Nyongo Mwilini!!!!!!!!!!! Japo Akili ni Nywele Ila Sio Za Kwapani!
yah ni kwli ndo maana kwa sasa hakuna wake bomba na sijui kama atapatikana maana unaweza jikuta unaoa dem aliye tembea na baba yk ///////
ReplyDeletehttp://www.cashcrate.com/4724313
Yes..That is Real Talk,Wasichana wengi wa mjini wamekuwa wanatamaa sana ndio maana ata uaminifu wa mapenzi umekuwa mdogo sana akuna anaemuamini mwenzake si mwanaume wala mwanamke na hii pia inatokana na dada zetu sasa awaangalii swala nzima la mahusiano ila pesa mbele na end of the time anakosa ata mume wa kumuoa au kuambukizwa magonjwa...Every one makes mistake but when u know wat is ur mistake then is experince of where u went long and to correct it,My sister ur better than them and u will make it if u real want 2 change.
ReplyDeleteWeka source basi
ReplyDeleteUzuri huyu dada kajitambua kuwa huko aliko siko, hivyo hajachelewa,
ReplyDeletekwani heri nuxu shari kuliko shari kamili. Namshauri aachane na maisha
ya kupretend na aishi real life of her. Maisha ya kutaka kuwa kama
flani hayana lolote zaidi ya mwisho kuwa aibu kubwa na majuto.
Pia kama hajui ni kwamba kwakuwa tayari ameshapitia huko na kutambua
madhara yakupretend "kwa sasa ni wazi kuwa kama atatulia na kulinda
haiba yake ataweza kuolewa na natapata mume bora na nina imani hata
yeye atakuwa mama bora wa familia yake" nafurahi kuona kuwa tayari
ameshapita hatua ya kwanza ya kujitambua." anaweza kuntafuta kwa
ushauri zaidi 0789414568