Wassira amemwambia Sitta "kama unaona serikali inaendeshwa kwa rushwa
jiuzuru", akaendelea kusisitiza, "huwezi kuwa kwenye serikali hiyo hiyo
bado unaisema ni serikali ya kifisadi wakati na wewe ni sehemu ya
serikali."
Wassira pia aliongeza yafuatayo, "huwezi kuisema serikali vibaya wakati
na wewe ni sehemu ya serikali hiyo, vinginevyo ndugu Sitta aachie ngazi
la sivyo huu utakuwa utapeli wa kisiasa".
Aidha, katika kuimalizia hoja yake hii aliuliza swali, "samaki mmoja
akioza, wote wanaoza, sasa yeye (akimaanisha Sitta) atasalimika vipi?"
My take;
Mhe. Sitta nadhani ana hitaji kukopeshwa busara kidogo, katika hatua hii
huwezi kujifanya una chukizwa na madudu ya serikali ambayo kwa kipindi
chote hiki amekuwa akiitumikia, amekuwa sehemu ya serikali hiyo na kama
akisema kuna madudu, na yeye tuseme ni miongoni mwa wazalisha madudu
hayo.
Mhe. Sitta, kiu ya urais isikufanye uonekane kituko mbele ya watanzania,
kuwa mpole na usubiri wakati muafaka, kwani tabia hizi za kuropoka
ropoka ndani ya CCM hatunazo, tuwaachie hii tabia wasaka dola bila mbinu
(CHADEMA).
Most bogus politician samweli sitta!
ReplyDeleteSitta njoo huku CHADEMA ndio panapokustahili achana na hawa MAFWIIISADI sugu, na wew hapo juu una mwita mheshimiwa bogus, angalia usijikute wewe ndio bogus hujui lolote fuck U.
ReplyDelete