BAADA YA HUDDAH MONROE KUHUJIWA NA CLOUDS NA KUSEMA HANA BEEF NA DIVA...DIVA ATWEET KUONESHA KUWA BADO BEEF LIPO

Kama utakua ni muumini wa twitter lazima utakuwa unajua kinachoendelea kati ya mshiriki wa BBA kutoka Kenya  (2013), Huddah na mtangazaji Diva Loveness love.
kiufupi ni tweef ( bif kupitia twitter) kisa kikiwa ni CMB Prezzo 
Sasa leo hii katika interview tuliyofanya na Hudda amesema hana uhusiano na Prezzo, ni rafiki yake tu, na hana beef yoyote na Diva na kwanza hamfaham.
"you know mimi hupenda kutoa maoni yangu, so saa ile mi natoa maoni yangu mtu ana-judge vingine, mi sina bif na Diva, na simjui, na kama uli-notice i only replied three times."
unajua mi niliandika "lol" after seeing her tweet calling Prezzo "baby", why? i just find it funny, so yeye ndio akawa anaandika all that" amesema Hudda
kwa inavyoonekana Diva alikua akisikiliza radio wakati interview ikiendelea, na haikumchukua dakika sifuri, akahusika twitani na kuandika 

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu diva cmuelew kipi haxa anachokacrka mwenzie kaxma ya moyon hata kama anadanganya!! ni u-!!!nge

    ReplyDelete
  2. diva umalaya ndo unamsumbua..!

    ReplyDelete
  3. DIVA malaya aliyekubuhu.... Pepo la kufirwa linamsumbua

    ReplyDelete
  4. Hahahaahaaa,watu wanaishi nchi mbili tofauti ,hawajawahi kuonana na wala hawajuani sasa ma beef ya nini....hamna lolote hapo kutafuta umaarufu tu waone kwanza mmekosa cha kufanya !!!

    ReplyDelete
  5. Diva unahangaika tu kama unabusara kaa kimya... waswahili wanasema dawa ya mropokaji ni kukaa kimya atajiona mjinga yeye mwenyewe.. Big up HUDDAH umeonesha ustaarabu

    ReplyDelete
  6. Boss lady hana mda wakupoteza na huyo mkundu Diva..

    ReplyDelete
  7. Haha diva utaangaika sana kama mwanaume anakuzimia ucngetapatapa kama kuku anaechnjwa wapi prezoo anawakorogakoroga na kukaa member kuangalia ufinyu wa mawazo yenu

    ReplyDelete
  8. huyo demu wenu diva ndo anatafuta umaarufu kalambwa hadi na watoto kisa ma bro men anatapatapa ana force mambo kuwa basi kama anaona watu wanafaidi akafanye interview nae aende BBA anaaapenda umalaya

    ReplyDelete
  9. its nice to lay low diva na udda wote ni wanawake yanini mlumbane kisa man mnajishusha dada zangu!!!!!!!!

    ReplyDelete
  10. diva mi naomba contact zako nakuzimia kichiz halsalha2012@gmail.com

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad