Niliachana nae kitambo kidogo ila sikuhizi simuelewi kwani akipiga simu
au akituma sms naona mahaba mengi.Imedumu kwa wiki 3 sasa....nikiwa
kazini anapga simu...usiku kabla ya kulala lazime apige...huwa simpi
ushirikiano 100% coz sina mpango nae ila yeye ha-notice hilo...juzi
nikiwa kazini aliniambia anataka aje nyumban kesho yake ambayo ni ijumaa
nikamwambia nitakuwa kazini.....akaniuliza kama nampenda nikamjibu kuwa
sikuwahi kumchukia ila akasema nijbu NDIO AU HAPANA....ikabidi nimjibu
ndio...sipo kwenye uhusiano wowote kwa sasa ila ctaki kuwa nae na
KUMWAMBIA STOP NDIO NASHINDWA....kaniambia nimuelekeze nilipohamia ili
leo aje.....hofu yangu ni kwamba cna girlfrnd kwasasa so anaweza
akani-seduce nikasex nae halaf nikajuta.....NAOMBENI USHAURI NINI CHA
KUFANYA KABLA SIJAMUELEKEZA KWANGU.
Source:Jamii forums
mhhh nadhani uko poa me ushauri wangu kama mwanzo ulimpnda haiwezi kuwa tabu labda kajirudi na kusahau ya nyuma we jikubali nenda kapime nae huwezi jua mungu kakupangia wapi
ReplyDeleteRun....run huwezi Jua kipindi mlichoachana kapita njia gan kupgiwa cmu na kutolewa saut za kimahaba kusihamshe hisia zako zilizokufa kitambo acha ku-hold vitu. Apo anakutumia km mdoli tu akiboreka anakutafuta akimalza haja zake anasepa
ReplyDeletekwani wakati unamtaka ullijua kapita wapi? umekula umekinai unajifanya umtaki.
ReplyDelete