FEZA KESSY KUMJIBU NANDO KWA KUVUNJA AMRI YA SITA NDANI YA BBA


baada ya nando na selly kuvunja amri ya 6 mjengoni swali linakuja jeeeeee, Feza nae atavunja amri ya sita na o'neal????? maana inasemekana yupo kwenye penzi zito na O'neal wa Botswana, kafa kaoza na haskiii wala haoni, wanalala kitanda kimoja na kuamka wote, ma'denda' na ma hugs kwa sana mweeee!!!! sie ye2 machooo!!!! maana kwa nando mnachekelea je kwa feza mtachekelea ivoivooo????

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tupende tusipende, lazima atombwe tu!!! saikolojia ya mle ndani inawadanganya kuwa wako katika maisha halisi na wanasahau kuwa wapo peupeee baba,mama,kaka, ndugu zao, maboyfrend/girlfriends zao wanaona kila kitu, inauma umshuhudie binti, dada au girlfriend wako anatombwa! FREEMASONS WAMEITEKA DUNIA NA KUTUTIA MACHUNGU SANA KWA VIELA AMBAVYO WENGI HAWAPATI NA WANATOKA MIKONO MITUPU WAKIWA WAMEDHALILIKA BAADA YA AKILI YAO KURUDI WAKIWA NJE, HIVI HATUWEZI KUTOSHIRIKI JAMANI? JAMII YETU INAFAIDI NINI HAPA?

    ReplyDelete
  2. sa mbona kwa nando mlichekelea kwa feza msichekelee y?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad