Kwa mujibu wa Global Publishers, filamu yake iitwayo Scola imezuiwa
kuingia sokoni kutokana na kuwa na sehemu zinazodaiwa kuwa kinyuma na
maadili ya Kitanzania.
Imedaiwa kuwa filamu hiyo imegundulika kuwa na matatizo hayo baada ya
muigizaji huyo kuipeleka kwenye bodi hiyo ili ikaguliwe kabla ya
kuingia sokoni na sasa amepewa kazi ya kuondoa vipande hivyo ili
ihakikiwe tena kwa mara nyingine.
FILAMU MPYA YA AUNTY EZEKIEL YAPIGWA STOP KUUZWA KWA KUKIUKA MAADILI
0
June 29, 2013
Tags