KATIKA kuonesha kuwa bado uaminifu kwa wapenzi ni tatizo, juzikati
lilitokea fumanizi la aina yake baada ya mwanamke mmoja aliyefahamika
kwa jina la Flaviana kumnasa mwanaume aliyedaiwa ni mumewe, aitwaye Aron
akifanya mapenzi na mwanamke mwingine
Tukio hilo lililowashangaza wengi lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita
katika gesti moja iliyopo Sinza jijini Dar. Awali Flaviana na bwana wake
huyo walichukua chumba baada ya kushindwa kurudi nyumbani kutokana na
kuzidiwa na kilevi.
“Wakati Aron akiwa chumbani pale, alifika shosti wa Flaviana aitwaye
Dina na kwa kuwa Flaviana alikuwa hajitambui, wawili hao walianza
kupeana malavidavi.
“Flaviana akiwa amelala alikuwa kama vile
anasikia watu wakishughulika lakini alishindwa kufanya chochote kutokana
na kuzidiwa na pombe.
“Wale wakaendelea kubanjuka. Ilipofika saa 12
asubuhi Flaviana akapata nguvu na kuamka kwenda kujisaidia, aliporudi
akabaini shosti wake amemsaliti na ndipo alipoanzisha timbwili,” alidai
mtoa habari wetu.
Flaviana apigia simu mapaparazi
Wakati timbwili hilo likiendelea
chumbani hapo, Flaviana alipata mwanya wa kuwapigia simu mapaparazi
ambapo ndani ya muda mfupi walifika na kumshuhudia Dina akiwa ndani ya
Bajaj huku akivaa nguo kabla ya kumuamuru dereva kuondoka kwa spidi.
Naye mwanaume ambaye alikuwa ndani ya chumba cha gesti hiyo, aliposikia
waandishi wamefika, alitokea mlango wa nyuma akiwa amevaa ‘boksa’ na
tisheti, akaacha suruali yake chumbani hapo.
Akizungumza na Risasi
Jumamosi huku akiwaonesha mapaparazi kitanda kilichokuwa vululuvululu,
kilichotumika katika usaliti huo pamoja kondom, Flaviana alisema:
“Nimeumia sana, yaani nimesalitiwa nikiwa humuhumu chumbani, Aron
kanidhalilisha sana na huyo Dina naye kumbe siyo mtu, nitahakikisha
namsaka nimshikishe adabu.”
Source:Global Publisher
FUMANIZI LA AINA YAKE MUME AKIMBIA NA BOKSA MWANAMKE AVALIA NGUO YA NDANI KWENYE BAJAJI
2
June 29, 2013
Tags
Hujathibitisha habari kbsa.
ReplyDeleteulitaka apige picha mboo iko kumani? mnataka udaku hlf ful kukosoa
ReplyDelete