“Unajua mi nashangaa sana watu wanatoa wapi maneno wanayoandika, mimi sina tatizo na Wema, wala siwezi kuwa na tatizo naye, wema amekuwa msaada mkubwa kwangu, sa sijui nitagombana nini na wema, huo ni uzushi tuu jamani, muwe mnatuuliza kabla ya kuandika” Alisema kajala
Alipoulizwa kuhusu ukaribu wake mpya na wolper alisema
“Wolper nimekutana naye kwenye party ndo tukaamua kupiga picha, au siku hizi sitakiwi kupiga picha na mtu mwingine zaidi ya wema? Wolper ni rafiki yangu”
HII NDIO KAULI YA KAJALA BAADA KUSADIKIKA KUPIGWA CHINI NA WEMA
6
June 26, 2013
Tags
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaha we acha 2
ReplyDeleteWauza sura mna kazi...hivi huo muda wa kuanza kuchunguzana mnaupata wapi? Muda ni mali jamani msiupoteze mtajuta
ReplyDeleteKama wema aliamua kukusaidia kwa moyo c bac amekusaidia na yamepta ss anataka kukugeuza msukule wake kisa amekusaidia au ndo unalipa hvy acha kumwabudu m2 fanya yko...!
ReplyDeleteKama wema aliamua kukusaidia kwa moyo c bac amekusaidia na yamepta ss anataka kukugeuza msukule wake kisa amekusaidia au ndo unalipa hvy acha kumwabudu m2 fanya yko...!
ReplyDeleteVizuri sana kajala kama hawataki kuelewa achana nao!
ReplyDeletekatka dunia hii usipo semwa basi ww hatamungu hakujui,wapotezee ndivyo wanavo jipatia riziki zao kwa kuandika wasichokijua
ReplyDelete