HII NI KAULI YA FREEMAN MBOWE ALIPOJISALIMISHA POLISI LEO

Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na mandeleo Mh. Freeman Mbowe na mbunge wa jimbo la Arusha Godbless Lema wamejisalimisha kwa jeshi la polisi huku wakiendelea kusisitiza kuwa ushahidi walio nao hawatauwasilisha kwa jeshi la polisi mpaka pale rais Jakaya Kikwete atakapounda tume huru ya majaji ya uchunguzi
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lakini mbinu ambazo watawala wanazitumia si mzuri..kuchafuana sawa lakini si kihivi..acha kila mtu afanye xiasa zake kwa uhuru bila mipaka..wabunge wanadharirishwa bila xababu..dah,poleni xana..

    ReplyDelete
  2. Mbowe atawekwa Kwenye list ya terrorist au chadema Chama cha terrorist .Bush na Obama wanakuja watakoma

    ReplyDelete
  3. Huyu choko nini heti Bush NA Obama wanakuja ndio nini sasa wakija huyu jamaa hana hakili kbs.............

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad