Siku ya kwanza atakuja na chupi 2,moja anaifua anaacha bafuni,nyingine anavaa asubuhi anaondoka...
Siku ya 2 anakuja na khanga,anaivaa usiku,asubuhi anaianika nyuma ya mlango anaondoka...
Siku ya 3 anasahau pete na hereni juu ya meza anakwambia 'Hny nitunzie nimesahau hereni zangu mezani'
Siku ya 4
anakuja na nguo 2 na vipedo vya kubadilisha na viatu pea 2,anavua high
heels anaweka kwenye Shoe rack,asubuhi anaondoka na flat shoes kwenda
chuo..
Baada ya
mwezi chumba chako kinakuwa na vitu kadha wa kadha,na ole wako
uvihamishe alipoacha,kesi zinaanza...Hao ndo Wanawake wa kileo,akija na
begi zima si utamuuliza Vipi mwenzangu na utamkimbiza...Anahamia
taratibu..Mwisho wa siku dressing table yako iliyokuwa ina perfume na
mafuta ya Rays inakuwa imejaa hereni na 'Foundation'...My Brother,huna
haja ya kuuliza,NDO KASHAHAMIA HUYO....Kifuatacho utaambiwa,''Honey I
miss my days',Zamani nilijua ni Simu za mkononi tu ndo zina Missed
Calls,Siku hizi kuna Missed days,ukiambiwa hivi tu jua imekula
kwako,inawindwa ndoa....WANAUMEEEEEEEEEE,Mpoo??Msiseme sikusema
kwelli aiseee!
ReplyDelete