HUU NDIO UCHAFU UNAOFANYWA KATIKA PARTY ZA KIBAO KATA
4
June 29, 2013
Hatarieeeeeeeeeeeeee hapo binti anatolewa ..Kibao kata ni sherehe za wanawake tuu ambapo hufanyiwa binti anapotaka kuolewa ....Basi huko ukibahatika kuingia utaona uchafu wote wa mauno....mmhh Kazi kweli kweli ...Uswazi kuna mambozzzz
Tags
Kisha unatarajia huyo binti apate mume wa kumuoa na akatulie kwa mumewe kwa aina hiyo ya maandalizi...Umalaya tu uliojificha hakuna lolote hapo
ReplyDeleteTHE PERSON THAT POSTED THESE PICTURES MUST BE AN INDECENT PERSON.
ReplyDeleteKwani taabu hipo wapi Wabongo?
ReplyDeleteKibao kata tangu zamani hipo kabda hata sijazaliwa.Watu wa wapwani ndio hutamaduni wao .Wanawake ndio wanaanda kibao kata kwa ajili ya mwanao kwa harusi.
Ninyi wabongo mnatoka bara hamjui haya mambo .Mnatakiwa mkija Dar mjifunze mambo ya pwani na hutamaduni wao.
Ayajaanza leo ayo mambo
ReplyDelete