Web

HUYU DEMU ANANIZENGUA AU YUKO SERIOUS?

Top Post Ad

Mimi nikijana ambaye nategemea kuoa soon nina demu wang na ni wa kawaida sana ila nashangaa kwani demu anapenda kujisifia sana,mara nyingi namsikia akiniambia kuwa yeye ni mzuri,ana umbo nzuri,wanawake kama yeye ni wachache sana na kila akipigiwa mluzi tu au atongozwe njian lazima aniambie. Hapa kuna upendo kweli?

Below Post Ad

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.