HUYU NDIYE MWANAFUNZI WA UDSM ALIYEPIGWA RISASI YA TUMBO NA MAJAMBAZI USIKU WA KUAMKIA JANA

ALEX ROBERT AKIWA KATIKA POZI WAKATI WA MAPUMZIKO.



WANAFUNZI WA CHUO HICHO MWAKA WA NNE PAMOJA NA MKUU WA KITOVO CHA SHERIA PROFESA BONAVENTURE RUTINWA WAKIMWOMBEA MWENZAO AENDELEE KUWA SALAMA NA UPASUAJI HUO UFANYIKE VIZURI KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI DAR ES SALAAM JUNI 21.


WANAFUNZI WA CHUO HICHO MWAKA WA NNE WAKIONESHA MSHIKAMANO WAKISUBIRI MWENZAO ALEX ROBERT AKIWA THIETA WAKATI WA OPERESHENI KATIKA HOSPITAL YA TAIFA MUHIMBILI  


ALEX ROBERT KULIA AKIWA NA RAFIKI ZAKE
 

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa hali hii Kweli Kibaka akashikwa UDSM akauwawa Je serekali itasema wanajichukulia sheria Mikononi?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad