R.I.P Ngwair,Langa-habar wana jamvi
Nautandika uzi wangu huu hapa kuomba ushauri nifanyaje au dawa yake ni nini katika tatizo hili linalonisibu!
Nina mpenzi wangu niko kwenye mahusiano mwezi wa tisa sasa hivi,tatizo
ni pale tunapokuwa ndani ya sita kwa sita huwa ananing'ata .Hii hali
humtokea mara nyingi sana hasa hasa kipindi kile ambacho anakuwa anafika
orgasm(female),hapa nilipo ukinikagua vizuri kifuani nina makovu kadhaa
hadi kuwa chest game inakuwa aibu
Yani inakuwa shida kiasi natakiwa kujihami mara nikiwa namshughulikia
hasa pale anapokuwa anakaribia orgasm kwa kutafuta stail ya kujiweka
mbali na mdomo wake-lakini kama unavojua kipindi hiki mtu anaongezeka
nguvu mara 100 so mara nyingi mimi naishia maumivu,na nimekuwa type ya
wanaume ambao na last long in bed (enough stamina) hivo basi katika one
shot naweza hata ng'atwa mara 3
Nikimuuliza mwenzangu anasema yeye hua hajitambui anapofanya kitendo
hiko(biting) na kuishia kuni promise atajitahidi kujizuia next time
lakini wapi -game inaishiaga vilevile.Kwa hali hii mimi naona kero hadi
nafikiria kumuacha hali nampenda tena sana,sasa kabla sijafanya hivyo
naombeni ushauri nifanyaje au hii hali inatibika na dawa yake nini?
hapo no dawa coz mtendaji anakuWa hajitambui nakama hajitambu huwa anakuwa amekukamatiria viliVYO au unajua sielewiii!!!
ReplyDeleteHebu funguka kabisa
Dawa ni kubadili mtindo unapokua nae sita kwa sita achana na style ya kizamani kifo cha mende badili style ili ujiweke mbali na Mdomo wake Utafanikiwa
ReplyDeleteNakushauri umng'oe meno kabla hamjaanza kufanya tendo.
ReplyDeleteHaina budi kubadili style wangu vinginevo hakuna dawa kwa hilo
ReplyDeletePiga style ya mbuzi kagoma kwenda najua atang'ata godoro kuliko wewe....ukimuonea huruma basi subilia siku ya siku kung'atwa jicho mzee.
ReplyDeleteMbuzi kagoma ndiyo mpango.Kama vipi back front.
ReplyDeletekubadili style sio kigezo..anaweza ku bite popote hata kuchana mashuka..
ReplyDeleteduh hatareeee! ni mmmarangu nini kaka, kama ni mmarangu hizo ndio zao huwezi mbadilisha
ReplyDeleteduh hatareeee! ni mmmarangu nini kaka, kama ni mmarangu hizo ndio zao huwezi mbadilisha
ReplyDelete