Wanajeshi wakitoa kichapo huku mwingine akiwa ameninginizwa kama swala na wawindaji porini..
Angalizo....picha hii nimeikuta mtandaoni inawezekana sio ya Tanzania......mmh mwenzangu nisije ninginizwa na mimi...
KWA KAULI YA PINDA , TUTAPONA KWELI KWA HAWA JAMAAAA
5
June 23, 2013
Tags
VICHAA WAKICHEKEWA MIUNDOMBINU ILIYOCHUKUA NUSU KARNE KUIJENGA SIKU MOJA TU WANAISAMBARATISHA NI SAWA NA KUCHEKEA NGEDERE UNAVUNA MABUA KIPIGO NDIO LUGHA INAYOELEWEKA
ReplyDeleteMizengo pinda aliupata je uwaziri mkuu?
ReplyDeletee
ReplyDeletee
ReplyDeleteMizengo pinda is totall n completely bogus.
ReplyDelete