Mi sijui teknolojia lakini kama ni kweli basi jide nitamtoa maanani leo leo. Anapata wapi muda wa kusengenya badala ya kujiandaa na show? Jide kafika la ngapi? Kwani mwana FA kupanda jukwaani alijipeleka? si alipewa hiyo heshima? Jide kwanza anaimba nini zaidi ya kwaya? Angekuwa wapi kama si clouds na sasa gardner? believe me, no gardner no jide. Legend alikuwa bi Kidude. Huyu binti ni mlalamishi na 90% ya nyimbo zake ni malalamiko! Hebu kuwa mkubwa ufanye kazi. MwanaFA is just great. He has got looks, talent, brain and personality si wengine hata wapake nini, wavae nini, wasuke nini hawapendezi. Hahitaji TV programmes kujitangaza oh, nasaidia watoto yatima, oh, sijui nini.. The dude has got confidence.Anakubalika tu kama alivyo. Wivu hautuachi tumuappreciate mtu kwa kizuri alicho nacho? The dude is handsome lakini tunakataa kukubali tunaanza kumpachika ushoga! Nani alisema wanaume wazuri ni mashoga? Jide hana uzuri wala mpendezo, je ni msagaji? Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. kwa nini Jide anakubali kujiweka kwenye nafasi ya kuonewa huruma? Kwa nini atafute public sympathy? Ukilinganisha wote wawili hapa utagundua kuna mmoja anajiamini zaidi. Anajijua ana kitu kizuri ambacho watu watakifata hata kama patakuwa na show 10. Anajua watu watanunua tiketi si kwa sababu hakuna show nyingine siku hiyo ila kwa kuwa yeye ndo anaperform siku hiyo. Nashangaa sana jamani. Kwanza mmoja ni hip-hop artist mwingine ni mwanakwaya wa bongo flava hivyo kila mmoja ana mashabiki wake. Jide come on. Ukiongea sana tutakujua ulivyo maana kitokacho kinywani ndicho kiujazao moyo. Wenye busara huongea kidogo sana tena inapobidi. Looooh!!
kavurugwa mdada c bure yan sahiz kila mtu anamparamia kama una bifu na clouds n wewe uctake kila mtu awe na bifu nao,jipange sana mdada mbona una weza kuimba 2 kwaya zako na watu wakakuelewa co mpaka uparamie watu hovyo madada vp?JITAMBUE
Duh mama machozi umemgeukia Mwana FA kupitia mitandao, umekosea jamaa ana mashabiki kinowma wanaomsapoti kwa busara zake ambazo nyingi zimegeuka faraja na shule kwa maisha yao...
Sawa kwa huruma tutakuja kwenye show yako ya Joto Hasira,Inshu ni jeh kwa sasa unaviwango? Nini kitafuata mara baada ya hapo? Burudani ya nguvu iliyo endelevu Zaidi au kama ile ya Machozi band ya awali au tuendelee kuja kisa kukuonea huruma kwa kutaka kulinda pato lako eti mwana bongo fleva? Nahisi kwa style hiyo wengi tutasinzia ukumbini...
Na utashuka puuuh!!!au paaaah!!!
Clouds ndiyo walio kulea ukafika hapo, Clouds kila kukicha kupitia uhuru wao as slogan' yao isemavyo radio ya watu, Mumeo akawa akikupa mashavu jahazini kukupromoti mpaka wengine tukanuna mpaka tukasahau mpaka tukakupenda tu!!
Na si mumeo tu hadi prizenta wengine Clouds wakampa shavu shemeji yao (wewe) hatimaye kizazi cha Amplifaya kikakupa namba one wasanii matajiri Bongo, magazeti, mitandao na redio nyingine zikakopi na kupesti taarifa hizo kwa mabibi na mabwana (wasikilizaji) nawe ukituhakikishia kwa kauli na mionekano kwa picha za stil na mnato.
Leo hii wawanena vibaya hata kuwafukuza msibani kwako? Hivi unajua nani atakaye kuzika?
Na kama leo ukiwa hai wasipopiga mziki wako na kesho ukigoo (sipendi kutumia neno kufa ingawaje kifo kipo na kwa mwanadamu akikwepeki)wakapiga muziki wako kukuenzi utashitaki kwa nani?
Tatizo huna washauri kwakuwa wengi waliokuzunguka ni maadui zako na watakusapoti hadi upuuzi wasikupinge ili kukupoteza. Pole Jide...njia uendako siko.
hao wanaoandika mashairi ni wafuasi wa kusaga na ruge hamna jipya jide bonge la demu hakunaga zaidi yake kimaisha na kimziki pia isijekuwa ulieandika mashairi haya huna hata ratiba ya maisha yako jide z greeeeeeeeeeeeeeeeet
Mimi sijui mnachogombea, ila tutazame facts, na tuwe wakweli: - Ni mwana bongofleva gani anakubalika zaidi kati ya hao wawili, Jide au MwanaFA, Jide ana albam ngapi na MwanaFA ana ngapi?? - Hata kama Clouds ndio waliompandisha Jide (na mumewe) je yeye hakuwa na jitihada zake binafsi hapo? Yani kwa kuwa wamempandisha juu ndo wamtese? Ni nani aliyefanikiwa hapa Bongo bila kusaidiwa na watu fulani fulani, eti jitihada zake mwenyewe? Ni yupi, mwanaFA? Tuacheni ushabiki tujadilini hoja kwa kujua chanzo kwanza!
Tujue chanzo cha nini? Chanzo ni upuuzi wa jide kutumia njia za kijinga kushindana na competitor wake. Badala ya kutafuta public sympathy angejifanya mjinga huku akitafuta njia ya kuwa-suprise hao kina ruge (The Kings of Entertainment Industry in Bongo). Ni propaganda tu za kujitafutia kukubalika. Mbona pepsi na coca cola wote wanauza sana tu tena bei sawa? Pepsi walifikia mahali wakauza soda yao kwa 150 wakati coke ikiwa 300. Coke wakaona pepsi wachovu. Sasa hivi wako wapi? Mbona mama ntilie hawamlalamikii bakhresa anapika mpaka chapati? hata kama wana issues za msingi kuna njia za busara za kuzimaliza. Tukirudi kwa nani zaidi, MwanaFA ana nyimbo chache lakini kali mnoooooooooo. Jide anaweza kuwa na albam nyingi lakini taarab tu. Sijui wanaume kama mabinti, kwaya kama "nakuambia siri yangu" nyingine zenye mvuto za kushirikisha kama ule wake na kidumu, minanawe n.k. Tukiongelea kipaji ang'avu kwa maana ya usanii mashairi, uwezo wa kuburudisha mashabiki na kukubalika bila nguvu ya ziada ya media ni wazi kuwa mwanaFA yuko juu. Ni mbunifu sana tu na anajiamimi. Anafanya hip-hop na band live tena wananjenje. New idea/creativity. Jide anafanya nini kipya zaidi ya kwamba ataimba zilipendwa zake na mpya zake? Ndo maana anatumia mbinu ya kutia huruma apate washabiki. Halafu hata ukilinganisha umri wa jide na muda kwenye muziki mwanaFA bado anastahili pongezi. MwanaFA pia anastahili pongezi kwani pamoja na kuwa muziki kwake ni part time job bado anafanya vizuri. Angekuwa anafanya muziki kama full time career naamini anagefanya makubwa zaidi. MwanaFA aliacha muziki akaenda kusoma uingereza lakini kwenye ulimwengu wa muziki hatuku-feel kwamba hayuko maana mziki wake una pumzi ya ku-survive wakati. Kwamba nani anakubalika zaidi tusubiri wafe ndo tupime. Amekufa kanumba tukajua namna alivyokuwa anakubalika. Nani alijua ngwair alikuwa anakubalika kivile? Si mpaka alivyokufa? Ukiacha nyerere yeye alitoa watu wengi zaidi ndani dar na mkoani. Lakini pia kitendo cha kuwa wote wawili tiketi zao za daraja la kwanza (50,000)zimeisha ni wazi kuwa mwanaFA yuko juu kwani nnavyojua mimi muziki wa hip-hop hauna mashabiki wengi kama kwaya na taarab. Ntarudi tena kuendelea na mashairi.
Mimi si shabiki wa kusaga wala ruge. Tena clouds niliijua nilivyokuja dar. Mimi ni shabiki wa wanamuziki wala huwa sifatilii nani yuko nyuma yao. Mwana-fa na jd nimewajulia itv na radio one. Usawa wa wanawake na wanaume kwenye show hatuutaki? Wanawake wakiwezeshwa si wanaweza? Hilo ndo tatizo la kutegemea uwezeshwaji. Ona alikofika ngwair, badala ya kupigana ni kulalamikia clouds, ona aliko ay, kwani yeye clouds hawamuoni au hawajawahi kumkwamisha? Hivi dimondo nae yuko chini ya clouds? yule q chilla aliyefulia akasingizia wenzie kusafiria nyota yake clouds pia wanahusika? Ray c nae alianzia clouds, clouds wamemnusisha sembe hadi akafulia? Simple minds discuss people, lets discuss issues.
Naona upuuzi mwingi hapa kila mtu anaongea lake kama kipindi wanaanza ugomvi mlikuwepo kuweni smart, mfanye yenu sio mnazitumia vibaya hizo airtime zenu za bei nafuu kuwatukana watu ambao hamuwajui mnawasikia2 na kuwaangalia kwenye television, ila kitu kidogo2 ambacho unatakiwa kujiuliza kabla ya kupiga kelele na kuwatukana watu: kwamba kwanini wakati Radio Tanzania inaheat hakukuwa na mambo kama haya na kulikuwa na station moja2 kulikoni sasa hivi kila mtu ana lalama juu Couds media, na kipindi Radio one ina heat pia sikuwahi sikia mtu analalama,,,, fikiri usinipe jibu baki nalo mwenyewe
Mi sijui teknolojia lakini kama ni kweli basi jide nitamtoa maanani leo leo. Anapata wapi muda wa kusengenya badala ya kujiandaa na show? Jide kafika la ngapi? Kwani mwana FA kupanda jukwaani alijipeleka? si alipewa hiyo heshima? Jide kwanza anaimba nini zaidi ya kwaya? Angekuwa wapi kama si clouds na sasa gardner? believe me, no gardner no jide. Legend alikuwa bi Kidude. Huyu binti ni mlalamishi na 90% ya nyimbo zake ni malalamiko! Hebu kuwa mkubwa ufanye kazi. MwanaFA is just great. He has got looks, talent, brain and personality si wengine hata wapake nini, wavae nini, wasuke nini hawapendezi. Hahitaji TV programmes kujitangaza oh, nasaidia watoto yatima, oh, sijui nini.. The dude has got confidence.Anakubalika tu kama alivyo. Wivu hautuachi tumuappreciate mtu kwa kizuri alicho nacho? The dude is handsome lakini tunakataa kukubali tunaanza kumpachika ushoga! Nani alisema wanaume wazuri ni mashoga? Jide hana uzuri wala mpendezo, je ni msagaji? Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. kwa nini Jide anakubali kujiweka kwenye nafasi ya kuonewa huruma? Kwa nini atafute public sympathy? Ukilinganisha wote wawili hapa utagundua kuna mmoja anajiamini zaidi. Anajijua ana kitu kizuri ambacho watu watakifata hata kama patakuwa na show 10. Anajua watu watanunua tiketi si kwa sababu hakuna show nyingine siku hiyo ila kwa kuwa yeye ndo anaperform siku hiyo. Nashangaa sana jamani. Kwanza mmoja ni hip-hop artist mwingine ni mwanakwaya wa bongo flava hivyo kila mmoja ana mashabiki wake. Jide come on. Ukiongea sana tutakujua ulivyo maana kitokacho kinywani ndicho kiujazao moyo. Wenye busara huongea kidogo sana tena inapobidi. Looooh!!
ReplyDeletekavurugwa mdada c bure yan sahiz kila mtu anamparamia kama una bifu na clouds n wewe uctake kila mtu awe na bifu nao,jipange sana mdada mbona una weza kuimba 2 kwaya zako na watu wakakuelewa co mpaka uparamie watu hovyo madada vp?JITAMBUE
ReplyDeletejide jipangeee
ReplyDeleteManafatuma mchovu tu
ReplyDeletejoto hasira? ndo nn?
ReplyDeleteDuh mama machozi umemgeukia Mwana FA kupitia mitandao, umekosea jamaa ana mashabiki kinowma wanaomsapoti kwa busara zake ambazo nyingi zimegeuka faraja na shule kwa maisha yao...
ReplyDeleteSawa kwa huruma tutakuja kwenye show yako ya Joto Hasira,Inshu ni jeh kwa sasa unaviwango? Nini kitafuata mara baada ya hapo? Burudani ya nguvu iliyo endelevu Zaidi au kama ile ya Machozi band ya awali au tuendelee kuja kisa kukuonea huruma kwa kutaka kulinda pato lako eti mwana bongo fleva? Nahisi kwa style hiyo wengi tutasinzia ukumbini...
Na utashuka puuuh!!!au paaaah!!!
Clouds ndiyo walio kulea ukafika hapo, Clouds kila kukicha kupitia uhuru wao as slogan' yao isemavyo radio ya watu, Mumeo akawa akikupa mashavu jahazini kukupromoti mpaka wengine tukanuna mpaka tukasahau mpaka tukakupenda tu!!
Na si mumeo tu hadi prizenta wengine Clouds wakampa shavu shemeji yao (wewe) hatimaye kizazi cha Amplifaya kikakupa namba one wasanii matajiri Bongo, magazeti, mitandao na redio nyingine zikakopi na kupesti taarifa hizo kwa mabibi na mabwana (wasikilizaji) nawe ukituhakikishia kwa kauli na mionekano kwa picha za stil na mnato.
Leo hii wawanena vibaya hata kuwafukuza msibani kwako? Hivi unajua nani atakaye kuzika?
Na kama leo ukiwa hai wasipopiga mziki wako na kesho ukigoo (sipendi kutumia neno kufa ingawaje kifo kipo na kwa mwanadamu akikwepeki)wakapiga muziki wako kukuenzi utashitaki kwa nani?
Tatizo huna washauri kwakuwa wengi waliokuzunguka ni maadui zako na watakusapoti hadi upuuzi wasikupinge ili kukupoteza. Pole Jide...njia uendako siko.
Kaaaazi kweli kweli, no matter what upo juu JIDE
ReplyDeletehao wanaoandika mashairi ni wafuasi wa kusaga na ruge hamna jipya jide bonge la demu hakunaga zaidi yake kimaisha na kimziki pia isijekuwa ulieandika mashairi haya huna hata ratiba ya maisha yako jide z greeeeeeeeeeeeeeeeet
ReplyDeleteMimi sijui mnachogombea, ila tutazame facts, na tuwe wakweli:
ReplyDelete- Ni mwana bongofleva gani anakubalika zaidi kati ya hao wawili, Jide au MwanaFA, Jide ana albam ngapi na MwanaFA ana ngapi??
- Hata kama Clouds ndio waliompandisha Jide (na mumewe) je yeye hakuwa na jitihada zake binafsi hapo? Yani kwa kuwa wamempandisha juu ndo wamtese? Ni nani aliyefanikiwa hapa Bongo bila kusaidiwa na watu fulani fulani, eti jitihada zake mwenyewe? Ni yupi, mwanaFA?
Tuacheni ushabiki tujadilini hoja kwa kujua chanzo kwanza!
Tujue chanzo cha nini? Chanzo ni upuuzi wa jide kutumia njia za kijinga kushindana na competitor wake. Badala ya kutafuta public sympathy angejifanya mjinga huku akitafuta njia ya kuwa-suprise hao kina ruge (The Kings of Entertainment Industry in Bongo). Ni propaganda tu za kujitafutia kukubalika. Mbona pepsi na coca cola wote wanauza sana tu tena bei sawa? Pepsi walifikia mahali wakauza soda yao kwa 150 wakati coke ikiwa 300. Coke wakaona pepsi wachovu. Sasa hivi wako wapi? Mbona mama ntilie hawamlalamikii bakhresa anapika mpaka chapati? hata kama wana issues za msingi kuna njia za busara za kuzimaliza. Tukirudi kwa nani zaidi, MwanaFA ana nyimbo chache lakini kali mnoooooooooo. Jide anaweza kuwa na albam nyingi lakini taarab tu. Sijui wanaume kama mabinti, kwaya kama "nakuambia siri yangu" nyingine zenye mvuto za kushirikisha kama ule wake na kidumu, minanawe n.k. Tukiongelea kipaji ang'avu kwa maana ya usanii mashairi, uwezo wa kuburudisha mashabiki na kukubalika bila nguvu ya ziada ya media ni wazi kuwa mwanaFA yuko juu. Ni mbunifu sana tu na anajiamimi. Anafanya hip-hop na band live tena wananjenje. New idea/creativity. Jide anafanya nini kipya zaidi ya kwamba ataimba zilipendwa zake na mpya zake? Ndo maana anatumia mbinu ya kutia huruma apate washabiki. Halafu hata ukilinganisha umri wa jide na muda kwenye muziki mwanaFA bado anastahili pongezi. MwanaFA pia anastahili pongezi kwani pamoja na kuwa muziki kwake ni part time job bado anafanya vizuri. Angekuwa anafanya muziki kama full time career naamini anagefanya makubwa zaidi. MwanaFA aliacha muziki akaenda kusoma uingereza lakini kwenye ulimwengu wa muziki hatuku-feel kwamba hayuko maana mziki wake una pumzi ya ku-survive wakati. Kwamba nani anakubalika zaidi tusubiri wafe ndo tupime. Amekufa kanumba tukajua namna alivyokuwa anakubalika. Nani alijua ngwair alikuwa anakubalika kivile? Si mpaka alivyokufa? Ukiacha nyerere yeye alitoa watu wengi zaidi ndani dar na mkoani. Lakini pia kitendo cha kuwa wote wawili tiketi zao za daraja la kwanza (50,000)zimeisha ni wazi kuwa mwanaFA yuko juu kwani nnavyojua mimi muziki wa hip-hop hauna mashabiki wengi kama kwaya na taarab. Ntarudi tena kuendelea na mashairi.
ReplyDeleteMimi si shabiki wa kusaga wala ruge. Tena clouds niliijua nilivyokuja dar. Mimi ni shabiki wa wanamuziki wala huwa sifatilii nani yuko nyuma yao. Mwana-fa na jd nimewajulia itv na radio one. Usawa wa wanawake na wanaume kwenye show hatuutaki? Wanawake wakiwezeshwa si wanaweza? Hilo ndo tatizo la kutegemea uwezeshwaji. Ona alikofika ngwair, badala ya kupigana ni kulalamikia clouds, ona aliko ay, kwani yeye clouds hawamuoni au hawajawahi kumkwamisha? Hivi dimondo nae yuko chini ya clouds? yule q chilla aliyefulia akasingizia wenzie kusafiria nyota yake clouds pia wanahusika? Ray c nae alianzia clouds, clouds wamemnusisha sembe hadi akafulia? Simple minds discuss people, lets discuss issues.
ReplyDeleteNaona upuuzi mwingi hapa kila mtu anaongea lake kama kipindi wanaanza ugomvi mlikuwepo kuweni smart, mfanye yenu sio mnazitumia vibaya hizo airtime zenu za bei nafuu kuwatukana watu ambao hamuwajui mnawasikia2 na kuwaangalia kwenye television, ila kitu kidogo2 ambacho unatakiwa kujiuliza kabla ya kupiga kelele na kuwatukana watu: kwamba kwanini wakati Radio Tanzania inaheat hakukuwa na mambo kama haya na kulikuwa na station moja2 kulikoni sasa hivi kila mtu ana lalama juu Couds media, na kipindi Radio one ina heat pia sikuwahi sikia mtu analalama,,,, fikiri usinipe jibu baki nalo mwenyewe
ReplyDeleteguyz hayatujengi hayo tufanye yetu malumbano si mtaji jaman yanatuzidishia umnaskini tuuu
ReplyDelete