"LAZIMA NIFE KABLA YA KUFIKISHA MIAKA 40"...AUNT EZEKIEL

WAKATI vifo vikizidi kuwatafuna wasanii, staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amefunguka na  kudai kuwa hawezi kuishi miaka mingi  na  atakufa mapema kuliko  watu  wanavyodhani.

Aunt Ezekiel alifunguka hayo juzikati alipokuwa  akipiga  stori  na  mwandishi wetu jijini Dar ambapo alibainisha kuwa akijitazama mustakabali wa maisha yake basi anaona kabisa kuwa hawezi kufikisha hata miaka 40  kabla  hajafa.
 

“Daah! Sijielewi kabisa yaani kwa jinsi ambavyo najiona, nikifikisha miaka 40 ni bahati aisee, dunia sasa imebadilika sana,” alisema Aunt.

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Labda anajua kuwa tayari keshashika mawaya

    ReplyDelete
  2. Kwa umalaya lazima ufe mapema....

    ReplyDelete
  3. inaelekea anajua nini kitakacho muondoa siuliolewa uwarabuni na kule wanapima ukingia 2 kwahiyo majibu unayajua ila unaficha waeleze watanzania wenzako usifiche unapata zambi kwa mungu.ukiwaficha na baado wanakutaka wa nawakatiza uhai wao na mungu hapendi hivyo wafahamishe ukweli marazi yako

    ReplyDelete
  4. mwenzie mzee wa swazi alishagatoa hofu,akapime ajue afya yake mapema.R.I.P.sis maria

    ReplyDelete
  5. Kashajijua kwamba kilometa zimeisha

    ReplyDelete
  6. atakuwa freemason huyo

    ReplyDelete
  7. atakuwa kishajijua kama ana ngoma ndio maana anaongea mambo kama hayo.

    ReplyDelete
  8. atakuwa kishajijua kama ana ngoma ndio maana anaongea mambo kama hayo.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad