Kwa nn hawa dada zetu ukianza nao uhusiano uwa wanamgeuza mwanaume ndo
kila kitu yan ndo kama wazaz wake mana atataka umlishe,umnunulie vitu
kama nguo za ndan na umlipie ada,how come majukumu ya wazaz wako yawe
yangu?ina maana mimi sina ndg wa kuwajal mpaka nikuangaikie wewe.Mnaboa
sana masista due njaa mana mtu akikuambia hana kitu unamchukia na
akikuambia kwan mwanzon kabla hujawa na mm ilikuaje?anasema usinione
kama nna dhiki sana ila kwa hali ilivo ni kama una dhiki
Mnafanya wanaume tusione thaman ya hela yetu na tuone thaman ya
kukupendezesha wewe wakat tuna ndugu na jamaa wana shida na tuna wajibu
wa kuwasaidia.
Samahan kama nimekukwaza ila nimeongea uhalisia na vitu ambavyo
vmentokea na imeniuma sana mana mdada anasema simpend kwa sabab
nimeshndwa kumtimizia mahitaj yake na nimemjibu kama mapenz ni hayo then
mimi sipo tayari na huko huru kufanya uamuz unaotaka na analaum kua
nimemuharibia maisha.
Source:Jamii forums
Ni kwel kabisa hapo umeongea cha maana nakupa 100 mia ,wanabore ile mbaya na mda mwingine unakuta mtu umechukiwa bla sa7b ya maana,
ReplyDeleteyeah
ReplyDeleteumenena sana kijana,mimi mwenyewe nina mchumba zote tumeajiriwa,lakn kila kitu mim.
ReplyDeletec wte ila unapaswa kuchagua mnae endana nae na unae mmudu kma we yabo lazma atkupeleka 2
ReplyDeletec wte ila unapaswa kuchagua mnae endana nae na unae mmudu kma we yabo lazma atkupeleka 2
ReplyDeleteUkiona vyaelea ujue vimeundwa....tatizo na nyie wanaume mnapenda mteremko hata dini ya kiislamu inasema jukumu la mwanaume ni kumtizimia mke mahitaji yake sasa nyie mnataka pasu kwa pasu nyie mnajukumu la kutuhudumia na sie tumepewa jukumu la kuzaa kwa uchungu na kulea familia kama vipi kaeni nyumbani tuwahudumie nyie mzae na kulea watoto. Nini maan ya mwanaume au unafikiri uanaume ni suruali?
ReplyDeletekibooo…!
ReplyDeleteSoma mwanangu,achana na mapenzi hakuna hospitali ya mtu aliye lazwa hospitali kutokana na kukosa alicho beba mwanamke kati ya minguu yake. Ila kunawengi wamelazwa hopitali, wekufa, ni wangumba, wana ngeu, wamefilisika kwa kuwa kinganganizi wa kitu alicho beba mwanamke kati ya miguu yake. Ushauri wa bure "kama unasoma Soma tulia utampata atakaye kupenda wewe nasio pesa yako" kama hujatulia utaliwa hata mwisho wa centi. Kama unakazi amua kuoa nyumba ndogo au kimanda wana gharama. Mwanamke ambaye sio mke wako kila kukica utasikia "Mpenzi nina shida" zitaisha lini?
ReplyDeletehapo umenena jomba,nakupa 100 100. yaan wajua ww ndy mzazi.PUMBAVU
ReplyDeleteMpumbavu ya nini wakati umempa 100/100 siunamuonea
ReplyDeleteHahahahaa kwendeni zenu hamna hela
ReplyDeleteNi kweli kabisa wengi wao wako hivyo hata wenye umri mkubwa nao wamo.Kina dada wa Tanzania jikomboeni ki kwelikweli.Kuomba sana ni kujidharirisha na kujishusha thamani......
ReplyDelete