Ni baada ya kumkopesha mteja wake zaidi ya milion 200, mteja ameshindwa
kulipa wameuza mali zake deni halikutimia then wanataka na nyumba ya
mdhamini aliye dhamini huo mkopo...Mteja anaidaiwa ni mdogo wa mwenye mabasi ya Sumry
Akikaririwa na vyombo vya habari mama mwenye nyumba ambaye alipanda
kwenye paa akitishia kujitupa chini kuzuia TIB kuuza nyumba yake amedai
wangewasiliana na mumewe ambaye ndo mdhamini waeleze hali iliyopo na sio
kukurupuka na nyumba yake ilhali wana uwezo wa kulipa kiasi
kilichobaki.mpaka jana usiku nilivyopita eneo hilo nilikuta bado kuna vurugu ambazo sikuzielewa mpaka mtu mmoja alipiga risasi juu kutawanya watu ....
Comment kutoka kwa Mdau
Yaah hii taarifa ilisikika mchana kupitia clouds fm but na ss hivi itv
wameionyesha.kwakweli inatia huruma sana kwan huyu mwanamke amevaa kanga
moja tu.na toka jumamosi yuko tu juu ya paa hajala kabisa.na pia hao
msama action mart ambayo ni kampuni ya msama huyu anayeendeshaga
matamasha ya pasaka hawajamtendea haki mwanamama huyu kwani instead off
kupeleka wanawake ndio wadili na huyu mama wao wamekuwa wakipeleka
mabaunsa tena wengi zaidi ya 20 just to deal with one lady ambae hana
hata silaha!!shit naomba tamw,tawla kama huwa mnapitia hapa pls
mchukulieni hatua kali hawa msama kwani haki za mwanamke zimekiukwa
wazi.na ingekuwa nchi nyingi wangeandamana kabisa kulaan kitendo hiki.am
not a lawyer but I wish I could yan ningewashtaki kabsa hawa.madai
yanaonyesha pia kuwa utaratibu haukufuatwa kwani hata serikali ya mtaa
hawana taarifa.kama mwanamke nina laan vikali kile kitendo cha
kumdhalilisha mwanamke mwenzetu!!
Mikopo ya Benki ni yakuiogopa sana!Mama alala juu ya paa siku 5 bila nguo wala Kula
2
June 13, 2013
Tags
kama anauwezo wa kulipa deni kwa nini mnang'ang'ania nyumba yake, huo ni wizi tu.
ReplyDeletemmmmh hivi kumbe ni kampuni ya msama wa mataasha ya dini? kwakweli sijui kama anadini yy! hii nchi apart from huyo auction mart inadhuluma sana haki hapa tz haifuatwi hata kidogo,km wlifuata all the procedure to sponcer huyo mtu kwann na wao wasifanye taratibu kuwasliana nae?FULL DU\HULUMA HAPO!
ReplyDelete