MSICHANA WA MIAKA 25 ALIYEFANYA MAPENZI NA WANAUME 5,000

Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni. Wakati wapo wanawake ambao hawapati salamu barabarani, Nikki Lee, 25 amevunja rekodi baada ya kutimiza idadi ya wanaume 5,000 aliofanya nao ngono.

Nikki ambaye aliibukia katika fani ya urembo anasema alifanya vitendo hivyo kwa muda wa miaka tisa sehemu mbalimbali alizokuwa akitembelea.

Anasema alikuwa anafanya ngono katika klabu za usiku, ndani ya ndege, mbuga za wanyama, sehemu za kupaki magari, ndani ya gari, sinema na disko.

Anasema kwamba alianza kufanya hivyo tangu alipotolewa bikira yake akiwa na umri wa miaka 16.

Anasema aliweza kufanya ngono na wanaume wawili kwa siku. "Nilikuwa nasikia raha  ya ajabu na ndiyo maana nilipenda kufanya ngono wakati wote," anasema Nikki. Alipokuwa na miaka 21 alifikisha idadi ya wapenzi 2,289 ambao alikuwa amewaandika katika kitabu chake chekundu.

"Hakuna mwanaume aliyepita mbele yangu asinitamani kwa waliotaka kufanya nami mapenzi nilifanya hivyo, kwa sasa nimeathirika na ngono," anasema Nikki.
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo dudu yake itakuwa haina tofauti na ndoo ya maji

    ReplyDelete
  2. Ana Pepo huyo anahitaji maombi. Atafute watumishi wa Mungu wamuombee. Wala sio yeye msimlaumu.

    ReplyDelete
  3. Mmh! makubwa mala ya mwisho kusikia mwamke mwenye idad kubwa ya wanaume alo tembea nao ni wanaume 80, nilipigwa butwaa sasa 5000 huyu si atakuwa na dudu pana sana ka ziwa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad