Mwanamke Kukauka Maji Sehemu za Siri Wakati wa Majambozi..Please Help
12
June 11, 2013
Husika na Kichwa cha habari hapo juu Mimi ni Msichana wa umri wa Miaka 21 , Nimeanza mapenzi muda kidogo , Boyfriend wangu wa kwanza nilikuwa na Miaka 18 nilikaa nae miezi sita tu tukaachana sababu anasema mimi sio mtamu na alikuwa haenjoy tukifanya tendo kwa vile muda wote mimi ni mkavu huku chini hata akiniandaa vipi tukishaanza tu nakauka, Wa pili nae akawa analalamika hivyo alijitahidi lakini ikafika wakati akawa hadi anachubuka sehemu zake Akaniacha, Kwa sasa ninae mwingine mpya sijawahi fanya nae kitu chochote kila siku nampiga tarehe kwa kuogopa nae atanikimbia ..Naombeni ushauri Nifanye nini ama nitumie dawa gani .
Watu wengi hujidanganya kwamba msichana mkavu ndio mtamu,wakisahau ukweli kuwa maji maji ya ukeni yana kazi kubwa sana ya kurainisha njia na kupunguza michubuka kama aliyopata mpenzi wako,tatizo nililoligundua kwa maelezo yako mafupi ni kwamba huwa unafikiria v2 vingine wakati mpenzi wako anakuandaa,pili mwambie mpenzi wako sehemu ambazo akizishika au akizilamba unajisikia raha,inaonekana majimaji unayo lakini kuna woga flani unakuwa nao wakati wa tendo
ReplyDeleteKwa maelezo zaidi tuwasiliane
Dr Micky.
huyo uliekuwa nae sasa ukempa mkundu hakika hatokuwacha huo ndio ushauri wa wangu .
ReplyDeletehuyo uliekuwa nae sasa ukempa mkundu hakika hatokuwacha huo ndio ushauri wa wangu .
ReplyDeleteJamani wana ushauri,naomba muwe mtoa ushauri wa busara na hekima pale mtu anapokuwa na tatizo fulani,sio vinginevyo.jueni ya kuwa ni wengi wanasoma ukurasa huu wa udaku na pengine kwa namna moja ama nyingine na wao wanatatizo kama hilo.tuwe wasataarabu jamani
ReplyDeleteDada ni mawazo unakuwa unayapeleka sehemu nyingine wakati wa tendo hilo,cha msingi unachotakiwa kufanya ni kuwa muwazi kwa mwenza wako ,uwazi wa kumueleza maahali ambapo wewe ukishikwa utajisikia raha ambayo itapelekea maji kutoka.kuwa muwazi na unapofanya tendo hilo hakikisha mawazo yote yanakuwa hapo.ndio maana wazungu walianzisha mikanda ya x ili kuleta mvuto kwa aliye na mawazo ya mbali hususana wakati mnapoanza tendo hilo. Pole sana dada
ReplyDeleteNaitaji email Yake niweze kuwasiliana Na wewe bye Person au hata Facebook Yake maana nna mengi ya kutaka kukwambia peke yako pls!!!nijuze ni jinsi gani naweza kupata mawasiliano yako
ReplyDeletePole sana dada yangu unatakiwa ule sana mabamiya!
ReplyDeletePole sana dada yangu unatakiwa ule sana mabamiya!
ReplyDeletemdada kula sana ndizi za bukoba za kuchemsha na punguza chumvi sana kwenye chakula chako pia penda kula sana vitu vya boil na ufuta ambao umechemshwa utajipenda hata chupi utachafua sikufichi baada ya wiki mbili tu utakuwa na maji.
ReplyDeletenaungana na huyo mchangiaji hapo juu, pia kula ndizi za bukoba na nyanyachungu kwa wingi pia wakati wa majambozi usihamishe mawazo
ReplyDeletejamani pole.
ReplyDeletemmh! pole ntafute nimesaidia weng tu mbon hilo sio tatizo nichek kw 0755768681
ReplyDelete