POLISI WAMKEMEA JOYCE KIRIA KWA KUANDAMANA, HAYA HAPA NDIO MAJIBU

Inasikitisha kuona kwamba huyu mama Joyce Kiria anaingilia mambo ya kisheria na kutaka kupotosha jamii kwamba hajui mume wake yuko wapi pia nadhani analenga kuichochea jamii kwamba aliyetuhumiwa kutenda uhalifu akikamatwa familia yake iandamane, tendo ambalo pia ni kosa la jinai. Aidha anatakiwa kuheshimu haki za watoto na kuacha kuwatumia katika kinga ya kutetea watu wanaotenda uhalifu (Imetolewa na Advera Senso Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania)

 Joyce Kiria akizungumza na waandishi wa habari Jana jijini Dar es salaam ambapo alidai hajui mume wake yuko wapi
Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Polisi chungeni maneno yenu huyo ni mtuhumiwa wa uharifu na c mharifu ,,mahakama pekee ndio itabainisha endapo atapatikanwa na kosa Hilo,,,hivyo maomba polisi wajue kutofautisha haya,,mi naona inayopotosha ni polisi wanafiki tu

    ReplyDelete
  2. Ni haki yake kama kwei alikua hajui iweje aandamane? Mbona baada ya maandamano mmemuarifu alipo? Then iweje mnahukumu wakati mahakama haijasema lolote? Kuweni na akili na nyie

    ReplyDelete
  3. Mume anauma jamani hata nyie mapolisi wanawake mnawaume so stop pretending that you don understand how Joyce feels!! Look at her and the kids!!! Ana kila sababu ya kumtafuta mumewe ajue alipo!!!! Mnataka akae tu akisubiri arudi???? Joyce what you did isnt a crime, any good woman would have done so for a loving husband!!! Hata mimi nakusupport!!

    ReplyDelete
  4. Stupid tanzanian police force,tunawaelewa vema sana,hamtendagi haki hata cku moja,mikono mirefu kwa kutaka hongo tena naye waziri pinda ndo kawapindaaa kabsa,mnatutesa nyie wanafiki,sitaki kusikia mtoto wangu anaishia kufanya kazi kama zenu,kazi ya laana hiyo kwa nchi kama yetu.walaaniwa nyie.

    ReplyDelete
  5. Wana right ya kulinda watu na mali zao.hiyo ndo kazi ya Tanzania police force.sio viongozi wa chadema hawajui kazi zao waliochaguliwa na wananchi.wao wanajua kuhamasisha vurugu na Maandamano.tamaa za madaraka.tuliwachagua mtuwakilishe na sio vurugu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. We nawe si ndo wale wale(stupid tanzanian police force)haki mnaielewa nyie?fuck you.mkiongwa mnapindisha haki za raia,bloody fuckin nyie

      Delete
  6. Kila m2 anahaki yakudai haki yake kama raia huru wa Tz

    Police mnashindwa kudai haki zenu, mshahara mbovu mnaish nyumba chafu wengne mnaish nyumba za mbao . Mnakaa kudidimiza haki za binadam na kula Rushwa....

    Joyce ww ni mwanaharaki na umesaidia wa2 wengi. Pambambana mpaka Haki icmame

    ReplyDelete
  7. Police kila cku mnakufa maskin nakuacha familia zenu zinataabika bila msaada. Mnashindwa kudai haki zenu kwa ujinga wenu. Mwachen Joyce adai haki ya mumewe

    ReplyDelete
  8. polisi wetu wanasikitisha sana yani mtu kuandamana ni kosa la jinai, jinai iko wapi wakati hakuna uharibifu wa mali, vurugu wala ukora wowote uliotokea, yani mtu kuhoji ni kosa la jinai!!!!!! namshauri huyo msemaji wa polisi atuambie wapi imeandikwa kuwa kuandamana ni kosa la jinai

    ReplyDelete
  9. ah hiyo ndo tanzania ubabaishaji umejaa na haki hakuna ni bora nifie ughaibuni kuliko mateso ya tz najisikia uchungu sana kuona viongozi wa tz wanakuwa ndo kwanza kuvuruga amani na kuwandamiza watu wa chini alafu wanawageuzia kibao ili waonekane ndo wakosefu

    ReplyDelete
  10. Anapotosha jamii na nn? Acheni vitisho vyenu. Km hajui mme wake alipo mlitaka aende disco akasherehekee?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad