MBUNGE wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (SUGU) amekamatwa na Jeshi la Polisi Mjini Dodoma na kuachiwa kwa dhamana.
Mwandishi wetu akiwa Mjini Dodoma anasema kwamba Mbunge huyo alikamatwa muda mfupi baada ya kutoka katika vikao vya Bunge.
Sugu alikamatwa na kupelekwa katika Kituo Kikuu cha Polisi Dodoma na
baada ya kuhojiwa aliachiwa kwa dhamana na kutakiwa kuripoti kituoni
hapo kesho asubuhi kwa mahojiano mengine.
Hata hivyo taarifa za awali za tukio la kukamatwa kwa Mbunge huyo wa
Chama Cha Manedeleo na Demokrasia (Chadema) zinadai kwambwa inatokana na
kosa la kutoa maneno ya uchochezi, matusi na dhihaka kwa Waziri Mkuu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda.
Habarim
Duh balaaaa!
ReplyDeleteMuhalifu WA kwanza ni pin a,yeye ndio aliotoa statement inayovuruga amani,pumbavu pinda.carrier mkubwa
ReplyDeleteWhat's this bullshit? Kila mtu anakamatwa katukana kachochea you big fishes get serious kidogo bhana
ReplyDeletetumeshazoea ni ya kawaida. Labda angefafanua nn maana ya tafsiri ya neno pumbavu kwa kutumia kamusi yetu ya kiswahili
ReplyDelete