Hichi ndio alichoandika leo kwenye ukurasa wake wa Facebook
"...Tanzania haijapata kuwa na waziri mkuu mpumbavu kama mizengo pinda...alichokifanya ni kutangaza rasmi vita kati ya serikali ya ccm na raia wa tanzania...!!"
SUGU AVURUGWA: AMWITA MIZENGO PINDA "MPUMBAVU"
33
June 22, 2013
Tags
Huyu ndiye mpumbafu zaidi mana yeye anataka watanzania waendelee kufa kwa kuwashawishi wasitii mamlaka iliyowekwa kisheria,TENA NENO LA MUNGU LINASEMA TIINI MAMLAKA ILIYO JUU YENU MANA MAMLAKA HIY0 IMETOKA KWA MUNGU. Nampa pole
ReplyDeleteShabiki wa ccm utamjua tu..... Kauli za waziri mkuu zimepinda km jina lake. Ccm mjipange sn 2015
Deletewewe unaonaonekana ni mpumbavu bora ungekuwa mjinga ungeelimika,inamaana kwamba we unakubaliana na haya mambo ya watu kupigwa mabomu?. mi nakubaliana na mdau mwenzangu kwamba huyu pinda kapinda kama jina lake.....
Deletendg HUJUI ULITENDALO WALA ULISEMALO, POLEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
ReplyDeleteSio Sugu tu ndio Mpumbavu Mpaka Chadema yote ni Wapumbavu maana wanashindwa kuwashauli wafuasi wao watii na Kulinda Shelia za nchini inaama wakija kupata nchi kutakua na Visasi sana kwa Selikali zote zilizopita.Kwa mtindo huu Chadema ni chama cha kuogofya sana.
ReplyDeleteMr. SUGU upo sahihi sana, Pinda sio mpumbavu ila mpumbavu sana.. Kiongozi huwezi kutoa kauli ya kibwege ya kuivunja katiba tena bungeni.. Kweli Pinda amepinda..
ReplyDeleteHaya yote ni maoni ila kwani ni wapi hao chadema walipowashawishi wananchi kufanya fujo??nimejaribu kufuatilia kwa ukaribu baadhi ya mikutano yao ya hadhara iliyokuwa na vurugu mwishowe na kugundua si chadema wenye shida bali ni wananchi wamechoshwa na baadhi ya mambo hivyo kila anayeonekana kama mkombozi wako tayar kumtetea kwa gharama kubwa.serikali yapswa kuona hatari inayojijenga taratibu mioyoni mwa wati.chadema ni daraja tu la kuelekea haki..hata kama si chadema ataibuka mwingine kesho ilimradi tu haki ipatikane
ReplyDeleteWatoa maoni wanaomsapoti Pinda c wapumbavu tu bali ni wasenge na mashoga pia, vurugu zipi inazofanya Chadema kwa kusema ukweli? Tujikumbushe, NCCR ilipokuwa juu kauli ilikuwa hivi hivi , ikaja CUF ikawa hivi hivi kupigwa, kuuawa nk. Inataka uende shule kweli kujua kauli za chadema wanafujo ni kwa vile ndio chama tishio? Pinda ni mpumbavu sana sana pamoja na wanaomsapoti.
ReplyDeletePinda hajatangaza vita ila kauli yake imelenga kuhimiza utii wa sheria bila shuruti. Halafu wanaovunja sheria na taratibu ndo washulikiwe. Acheni kupotosha watu
DeleteKumbukeni wanaojifanya kuvunja amri halali ya vyombo vya dola ndo haox2 wanaofanya damu za watu mtaji wa kisiasa. Nyie watz mlio gizani hebu yaoneni hayo hakuna amani ndani ya cdm ila ni damu tuuu.
nahis shule haujaenda usikurupuke hoji ni kwann kasema hivyo we ni bwege unaendaenda 2 bila kujua unakoelekea unapeleka tumbo mbele kula hauli pinda yuko sahihi we bwege nenda shule ujue unachoongea na sio kupotosha maana ya maneno
DeleteAcheni masuala ya siasa na uchama kwenye nchi inayoingia kwenye machafuko. Waziri mkuu kuwaruhusu askari wawagonge virungu wananchi kiukweli alikiuka katiba ya nchi ni dhairi anachochea machafuko ya nchi yetu. wala si CHADEMA wala CCM wote na vyama vyao huenda wanahusika katika hayo yanayotekea Bora kutafuta kutafuta sulihisho kuliko lawama na kuchamba vyama kama mnavyo fanya
ReplyDeletePinda anajua kabisa alishawahi kutoa kauli ya watu kuchukua sheria mikononi ka kuua pindi watakapowabaini watu wanawaua wenzao mfano jamii ya Albino kabla ya kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria ili waweze kuhukumiwa. Hatukatai kuwa uhalifu lazima uadhibiwe ila kikubwa tuna utawala wa sheria. Tufuate sheria sasa kama polisi wetu watakuwa ni wa kupiga tu kila wanampotia mtu hatiani si mwisho wa siku tutafika mbele ya sheria bila kuwa na uwezo wa kujibu na hatimaye kupoteza ushahidi?
ReplyDeleteNawauliza watz hivi Sheria za nchi kawekewa nani? Mnataka pinda aseme wakaidi wanaosababisha machafuko ndani ya nchi ambayo yanaleta maafa ya raia walambwe miguu? Hivi watu ni katiba gani wanaongelea? Mbona ndani katibu hiyo mnayosema inawaruhusu vyombo vya dola kutumia nguvu kupamba na wakaidi wa sheria? Hivi ktk mazungira ambayo police anayezuia fujo anapigwa mawe na kukatwa na mapanga je nyinyi mnataka police wavunje sheria kwa kuachia watu waendelee kuvunja amani eti kwa sababu ni viongozi wa siasa? Busara zaidi inahitajika kutafsiri mambo na uwezo kuelewa unahitajika pia. Pinda ni kiongozi jasiri anayesimamia ukweli. Ila kwa sababu watu wanapenda kudanganywa ndo maana hawataki kuuona ukweli na kubabaika na kauli za wenye uchu wa madaraka.
ReplyDeleteuna akili sana ndg yng dawa sio kumlazimisha punda kunywa maji ila mfanye awe na kiu unajua kuna watu wanataka kuuza nchi acha wape wanacho kitaka
DeleteTatizo mmesahau kuwa hata Pinda yupo chini ya sheria na kuamuru polisi wapige watu ni kinyume cha sheria, f**k u mnaomtetea mlopokaji.
DeleteMh. Pinda mimi nakuheshm sana na siwez kukuita mpumbav lakn ukwel n kuwa kwa hl ulpotoka na unajua hvyo maana wewe n msomi wa sheria
ReplyDeletesasa ndugu zangu kwanini mnatukanana watanzani sote ni ndugu
ReplyDeletehiii inchi kama ningekuwa ni MZIMBABWE ningekuwa nakaa nacheka hadi basi mana nahisi kama mijitu mingi inahitajika kwenda lutindi au milembe kucheki afya zao mm sio mtabibu ila hili nimeliona
ReplyDeleteInamaana kutotii sheria ni Ujanja na sio upumbafu? kweli sugu sasa umekua mwanasiasa na si kio cha jamii kama zamani.
ReplyDeleteWapumbavu ni nyie mnaoshabikia uvunjifu wa sheria na kupelekea maafa kwa watanzania wasiokua na hatia. Siku zote watu kama nyie mnaoropoka huwa mnawachochea wengine kuwa na hisia mbaya na mamlaka za nch! Kama mmeona serekali iliyopo madarakani haifai subirin uchaguz ili muweze kufanya maamuz mnayotaka nyie! Mmesahau kwamba CDM wakishika mamlaka pia nao watafata taratibu za kikatiba? Ambayo nipamoja na kuwa na hao polisi? Kuweni na akili msitake Tz iwe kamaSomalia BIG UP MZENGO Wewe ndio kiongoz jasiri
ReplyDeleteInamaana kutotii sheria ni Ujanja na sio upumbafu? kweli sugu sasa umekua mwanasiasa na si kio cha jamii kama zamani.
ReplyDeletehuyu pinda ni mlopokaji hafikirii anachotaka kukisema
ReplyDeleteNAUNGA MKONO HOJA TENA WDUNDWE NA WTOLEWE KUCHA MNALETA UTOTO HAPA
ReplyDeleteSugu nae ni Boya tuu pamoja na Chadema yote msilete fujo zisizokuwa na maana ndo maana hata Bungeni mnagoma kuingia kwa upumbavu wenu,Mkileta fujo ni Virungu kwenda mbele shwain.
ReplyDeletejaribu kujaji mambo kwa kufikilia ukigoma kufuata taratibu zilizo wekwa lazima uoneshwe njia sahihi so mh pinda yuko sahihi msipotoshe maana tusilete usela kwenye maisa ya watanzania philosophia inasema "THE LONG TIME OF PEACE MEANS THE PREPARATION OF WAR" SO USISHAE YANAYOTOKEA TZ YA LEO
ReplyDeleteACHA WATU WENYE VIELE ELE WALE KISHAPO 2 SHULE INAITAJIKA DAWA SIO KUMPELEKA PUNDA KUNYWA MAJI BALI MFANJE HAHIS KIU SO UKILETA UTOTO KICHAPO KAMA KAWA
ReplyDeleteSugu msenge kumamakooooooooo .
ReplyDeleteUnajua serikali ya ccm ina mapungufu mengi sana,na yanatakiwa kuchukuliwa hatua.na mojawapo ya hatua hizo ni kuitoa madarakani...lakini mi nadhani nyie ndugu wa CHADEMA mna overreact kwa kila jambo...yan mnataka kila mnachotaka kifanyike hivyo hivyo bila kujua kua hata nyie mtakapokua madarakani mtatakiwa kufuata sheria pia...na hii inaonyesha hata nyie mkiingia madarakani mtakua kama hao hao CCM maana mna uchu sana wa madaraka, nyie hata vitu vidogo tu ni kuandamana na fujo...sasa kama polisi ni chombo cha dola mlitaka mkivunja sheria wawachekee...hebu jipangeni na sera nzuri na hakikisheni mnawaelimisha watu ili wawapigie kura hiyo 2015,sio kua mna create scene ili watu wawaone mko vizuri kwa kudanganya danganya...leteni sera za maana..njaa njaa zenu hizo zitawaua...na hatudanganyiki na hizo sera zenu za kiboya...may be we need another political party...this CHADEMA we thought kina watu wenye akili kumbe miboya kibao...pumbu zenu
ReplyDeleteoya cmm kwaninn hata hamtoshek nyie maboya tu afu et eshim madaraka yariyo juu hata wakisema kura mavi we vp
ReplyDeletekauli ya pinda imekiuka katiba, na si mara yake ya kwanza kukurupuka,kama naweka kumbukumbu sawa hii ni mara ya nne huyu kilaza kuropoka kwa kauli zenye kumvua nguo yeye,kiti chake na serikali yake nasikitika kuuona utupu wa huyu mzee aliyefilisika akili. nawashangaa mnatetea kauli zake kwani mnamvika nguo kichaa anayejivua nguo mwenyewe, niulize ni mara ngapi mtafanya kazi ya kumvisha nguo huku yeye tabia na maisha yake kukaa uchi.saikolojia ya kawaida tu kwa mashahidi wawili jambo huthibitika na kudhihirisha mtu alivyo, hivyo jina sahihi kwa pinda ni "mpumbavu" kwani amejithibitishia hilo yeye mwenyewe mara nne. si tu aibu kwake bali yeye mwenyewe ni aibu.
ReplyDelete
ReplyDeletePINDA HAKUSTAHILI KUA WAZIRI MKUU,.PENGO ALILOACHA LOWASA HALIJAZIBWA.ILA HAKUNA JINSI NDIO KANISA KATOLIKI LILIVYOTAKA LAZIMA LIWEKE MTU WAO.NDIO MAANA PINDA YUKO PALE.KWA AMRI YA KANISA KATOLINI.
wapendwa'ni sawa mnavotoa mitazamo yenu juu ya hili japo pia sikatai wengine ni hasira wanatumia, wengine ni ushabiki wa siasa na vyama na hayo yoooote' Ndugu zanguni, mambo haya yanahitaji hekima wapendwa' angalieni tulipo na huko tunapoenda...tafadhalini, tafakarini mara mbili kabla ya kuandika icho kilichooko akilini mwenu' ni ujenzi wa taifa na sio uropokaji wenye akili duni'
ReplyDeleteninshangaa katika nchi yenye bandari mito mbuga za wanyama madini ya kila aina gasi, eneo kubwa la kijiografia, bado kwa ujasiri kabisa eti mnataka kuweka kodi kwenye laini za simu, halafu ado unataka watu waifurahie CCM why? kuna kipi kipya? wizi wa bandari na madudu mengine serikalini ni nani awe na mapenzi na CCM na hivi ni nani asieweza kupambana na mwizi wake!!
ReplyDelete