"TUTAIFUTA CHADEMA ENDAPO ITABAINIKA KUWA WALIRUSHA BOMU LA ARUSHA WENYEWE"....TENDWA
6Udaku SpecialJune 26, 2013
Msajili
wa Vyama vya Siasa nchini John Tendwa, amedai kuwa ikibainika kuwa CHADEMA ndio
waliohusika katika kulipua bomu katika mkutano wao wa 15/06/2013
atakifuta.
Tendwa ameyasema hayo alipokuwa akizungumza katika kipindi cha
Hot Mix cha East Africa Television akijibu swali la mtangazaji wa
kipindi Adrian Stepp kuhusu hatua zitakazochukuliwa...
Alipoulizwa kama itathibitika kuwa CCM ndio
walihusika kulipua bomu hilo amedai kuwa hawezi kukifuta kwakuwa kwa
kufanya hivyo itakuwa ni kufanya mapinduzi ya kalamu.
Endapo hiz zote ni njama za CCM kuua CHADEMA zishndwe na zilegee!
ReplyDeleteHuyo tendwa ndumilakuwili tu!!poor attitude
ReplyDeleteikibainika ni ccm ndo waliofanya hvyo ifutwe pia sio unaegemea upande mmoja. Mnahukumu kwa kutumia sheria au hisia! Haki sawa
ReplyDeleteTanzania haijawahi kuwa msajili wa vyama mpumbavu kama john tendwa.
ReplyDeleteTena mpuuzi sana,huo mwanya akili ataipata wapi,ndo njama zao CCM,wafute waone! Pumbaaaaaavu
ReplyDeleteMpumbavu kabisa huyu kama anaamaini kuwa sheria zake zinauma upande mmoja tu.
ReplyDelete