Habari za kazi waungwana? Poleni na msiba wa kijana mwenzetu na ndugu yetu Albert.... si kwamba tu taifa limepoteza nguvu kazi ya taifa bali kuna watu huenda walikuwa wanaishi kwa kumtegemea albert na sasa wamebaki bila msaada.....Mungu awapiganie wote hawa.
Baada ya kuwajua/kuwataja wasanii manyoka a.k.a wala unga ni vyema pia tuwaweke wazi WAUZA UNGA maarufu NA WANAOCHIPUKIA hapa nchini kwani serikali yetu ni kama imefumbia macho maswala haya. Haileti maana kudeal na matawi wakati mzizi wa tatizo umeachwa na hivyo kuendelea kuzalisha matawi mengine.
Inauma sana kuona watu wameamua kujunuifaisha wao kupitia gharama za kuwaharibu wengine. Hawa wauzaji ni ndugu zetu, rafiki zetu, majirani zetu, watoto wetu, waume/wake zetu na hivyo tunawajua vizuri sana. Kuwajua itasaidia kwani hata serikali inaweza kuanza kuwafwatilia. Leo ukiwahukumu wala unga, ukisema wanajitakia kesho yaweza mkuta mwanao, mdogo wako, au hata mumeo...sijui utaendela na kuhukumu au itakuwaje.
Naomba pia niweke wazi kkwamba drug traffiking and abuse ni global problem. Hii ni kwa faida ya wale wote walio comment kule kwenye post ya wasanii nyoka kusema kwamba sio global issue (just go revise your internationa/global uissues literature). Kwamba haiko kwenye MDGs hakuifanyi issue ya unga isiwe issue/tatizo kimataifa.......ni kwamba tu hakijawa kipaumbele (cha kupewa umuhimu wa kwanza kwenye utekelezaji) hadi hapo ifikapo 2015 ila nguvu inawekwa kiasi kudeal na swala hili.
Mbona hakuna relation kayi ya tittle na content? Mwandishi hujasomeka
ReplyDeletekweli, hata mimi sijaelewa kabisa
Deleteanza basi kutaja hata wawili hivi
ReplyDeleteAaaaah aaaaah babuu unaogopa,,wataje basi wakutengeneze kama walivyomtengeneze amina,,,,mamake
ReplyDeleteaaaah ndugu yangu usiogope wewe hebu wamesheni tukomeshe tatizo maana ni bala....
ReplyDeleteAnaogopa kumtja Kusaga Joseph na Ruge walivyomuua Ngwair kwa unga na pia kumfanya Container,tehetehe tehe
ReplyDelete