Salama wanawanchi,
Ukifatilia ziara ya Obama Southafrica, utaona jinsi media za kwao
zilivyokuwa busy ku speculate mategemea ya wananchi kwa ujio wa obama.
Kwetu TZ ni tofauti media na hata watu wenye nyazifa serikalini wapo
busy ku-discuss waziri gani atashikana mkono na obama na nani
hatashikana mkono na obama...Kweli hili ni muhimu_
Mwisho tukija humu na mitaani tunadanganyana sana kuhusu western kuja
africa kuwa ni kwa mabaya tu. Sikiliza speech ya Obama southafrica
ametuambia ukweli tunatakiwa kuuliza mambo ya msingi na sio fikira zetu
mafano amesema marekani haina shida na energy ya africa kwao wanayo na
bado wanazalisha sana...akaenda mbalia akatwambia tusifikirie kusaidiwa
tu na mataifa ya nje, bali tuangalie misaada hiyo na faida zake kwa
africa na tuulize mambo ya msingi kwenye misaada hiyo......ahahha hapa
kiongozi obama kanaifurahisha utakuta wengi wetu huwa hatunajadili mambo
ya msingi bali tunajadili udaku mafano eti wachina na marekani
hawapatani so wat lol
Source:Jamii Forums