Hizi ndo picha za huyo msichana anayetajwa kuwa ni Fatma aka Brown Berry wa Ilala Dar es Salaam ambae amekamatwa akisafirisha madawa ya kulevya au nchini Misri.
Pia chini kuna video inayoonyesha maafisa wa Egypt wakionyesha jinsi unga huo ulivyofichwa ndani ya begi kabla ya kubambwa
Akiwa na Mtoto wake |
Akiwa na Boyfriend wake |
tamaa ishamponza.. Binti mzuri kwa kweli inasikitisha
ReplyDeleteHao ni Ruge na Kusaga ndo wamemtuma dada wa Watu,tumeweza kuona ss upande wa pili wa hawa jamaa ni hatari sn,watanzania waogopeni
ReplyDeleteHaaaaa haaaa haaa haaaa
DeleteUbalozi wa Tanzania huko Misri wao wanasemaje kuhusu hili au nao wanafki anyongwe tu sio, lakini hapa Tanzania kwetu sijawahi kuskia Raiya wa nchi yeyote kanyongwa hata kama kavunja sheria za nchi badala yake hufukuzwa haraka sana kushtakiwa kwenye nchi yao
ReplyDeletenchi zngne sheria yake ndo hyo unakamatwa na mzigo unanyongwa no mjadala
ReplyDeleteHuyu si Mtanzania, ni Mu Oman.... ukiangalia uzuri hiyo video clip utaona anatumia passport ya Oman.
ReplyDeleteAnyongwe tu hana akili hata kidogo, umeona wapi ngada ikabebwa kwenye begi km unabeba karanga? Pumbavu sana R.I.Hell
ReplyDeleteHiii ishuu inawezekana sioo kweli
ReplyDeletehuyo ni mtanzania jamani mi napafahamu hadi kwao ... na nimesoma nae madrasa moja, dada yake anaitwa mariam
ReplyDeleteaibu kwa taifa
ReplyDeleteRoho inaniuma binti mdogo, mrembo anadanganyika kusafirisha unga. si kosa lako ni tamaa ya pesa. Allah akutangulie usinyongwe
ReplyDeletejaman jamani selikali yetu iinglie kati mbona wao hatuwanyongi?? tunawafukuza wanaenda kwao kushitakiwa
ReplyDeleteOngeeni mtakacho ongea lakini bora ya yeye ana kaza kuliko kufa masikini duniani hakuna haki, nn serikali yenu inafanya si inawaacha mfe taratibu oho tamaa tamaa my ass
ReplyDeleteWhy Tanzania tuna Ubalozi?
ReplyDeleteUbalozi ambao huu msaidii mtanzania yeyote hakipata matatizo hasa ya kupoteza maisha[kunyongwa].
Nchi nyingine watafanya juu chini kuokoa maisha hatakama hanamokosa.
Lakini hii ni fundisho kwa kinadada kwa kudanganywa kufanya hiyo biashara haramu.Ninahamini hakufanya mwenyewe bila .Hila katumiwa kubeba au kusafirisha mzigo wakati hajui madhara yake hasa nchi za Kiarabu.
Hii ni nafasi ya serikali kutoa matangazo na kuelimisha wananchi kuhusu madhara ya kubeba au kusafirisha madawa ya kulevya na hatari zake.
Dah inauma xn bn, cdhan kma raia wa marekani anaweza fanywa hvyo tena ugenn lbda ingekuwa kwao
ReplyDeletenamuhurumia mtoto wake
ReplyDeletejamani kwani walikua wangapi mbona 2nasikia wapo 3
ReplyDeleteVery sad, Get rich or die trying...
ReplyDelete