USHAIDI WA PICHA MME WA JOYCE KIRIA NA VIJANA WENGINE WACHADEMA WAKIWA NA PINGU,KESI YA UGAIDI IGUNGA

Bw.Henry Kilewo akiwa na watuhumiwa wenzake wa mashtaka ya Ugaidi yanayowakabili wakati walipofikishwa Mahakama ya Hakimu mkazi mkoani Tabora kwa mara ya kwanza 

 Wanachama wengine wa Chadema ambao wanahusishwa katika mashataka hayo ya Kigaidi ambapo imedaiwa kuwa watuhumiwa walifanya makosa hayo ya Ugaidi na kumjeruhi Bw.Mussa Tesha ambaye ni mwanachama wa CCM wakati wa kampeni za uchaguzi wa Ubunge wa jimbo la Igunga mnamo tarehe 9/9/2011 katika msitu wa Hanihani huko wilayani Igunga.

Kamanda Henry Kileo akiwa ndani ya gari pamoja na wtuhumiwa wenzake wanne wakisubiri kupelekwa Gereza la Mahabusu hadi watakapoletwa tena Mahakamani hapo mnamo tarehe 8/7/2013.

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Safi sana lazima tukomeshe uchaga WA chadema

    ReplyDelete
  2. We bwege kweli nani aliyekuambia cdm ni ya wachaga tu

    ReplyDelete
  3. Kama sio cha wachaga basi cheo cha uwenyekiti toeni kwa makabila mengine hicho ni chama cha wachaga na sasa hivi mnaweka makabila mengine kama chambo ili mpate mnachokitafuta mkipata watakiona.lakini sahauni hilo ni ndoto kwa nchi hii.

    ReplyDelete
  4. Halafu admin wewe niwazi umchadema acha ufala

    ReplyDelete
  5. Alikwambia chadema ni ya wachaga nani?na kuhusu huo uongozi wa ccm hauoni walivyo weka mbona hawo huwa ulizi acha ushamba

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad