UTAMWAMBIA NINI OBAMA UKIPATA NAFASI MOJA YA ONE TWO ONE CONVERSATION?
6
June 30, 2013
Rais wa MAREKANI HIS EXCELLENCY BARRACK OBAMA, AMBAYE NI KAMA RAIS WA
DUNIA (REGARDS ECONOMY AND MILITARY STRENGTH OF HIS NATION) ANATARAJIWA
KUWASILI NCHINI HIVI KARIBUNI. UKIWA NI MTANZANIA MZALENDO UNAYEIPENDA
NCHI YAKO, NA UMEPATA NAFANYA YA KUZUNGUMZA NA RAIS HUYO, UTAMWAMBIA
NINI KUHUSU TANZANIA?
Tags
Mi ningemwambia nataka nifunge ndoa na mwanaye
ReplyDeleteme ningemwambia siku nyingine aje bila taarifa ili aone madudu ye2
ReplyDeleteNingemwambia walichokifanya, kuja na silaha za kivita sisi hatuko vitani pia kutuingilia kwenye mambo ya ndani pia ni udhalilishaji tena wa kijinsia maana wamatuchukulia sisi kama madem wao ndo vidume. Kwa nini makachero wa obama wa-control everything pale airport?
ReplyDelete#operationzinduka kiakili#
Ameshndwa kuwasaidia wa2 weus marekan halafu anakimbilia huku
ReplyDeleteNamlove mtoto wake
ReplyDeleteningemwambia akae tanzania alafu kikwete aende marekani
ReplyDelete