Wengi
walitegemea kuwa Aunt Ezekiel ataungana na mumewe Sunday katika
kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani lakini hali imekuwa
ni tofauti....
Aunt
anayetumia jina la Rahma baada ya kubadili dini ili aolewe
na mwanaume huyo, amemtosa mkaka huyo na kuendelea kula bata
nchini huku akidai kuwa mumewe hana mengi.
"Sina mpango wowote wa kuondoka nchini kumfuata mwanaume.Yeye ni mume wangu, ntamkuta tu hata nikienda mwakani.
"Kwanza
mume wangu hana mengi na si mkorofi na anajua wazi kwamba
sipendi kubanwa.Kwa sasa nina mambo mengi likiwemo hili la
kuisambaza filamu yangu mpya ya Scola mwezi ujao"...Alisema
aunt Ezekiel
Mmmmh huyo mwanaume mtoto? Au.....!!!! Duh km nimtu mzima bac mbegu mbaya sn!
ReplyDeletehuyo mme bwege,hajui mambo huyo,si ant ezekiel si mmeo wote wapuuzi.
ReplyDelete