kabla ya kuandika commnet yako, bora uangalie kwa makini nini kimeandikwa na ufanye ka research kadogo.nchi zilizoendelea , kusafisha barabara ni jambo la kawaida.embu jaribuni kutoa credits kwa viongozi wakati mwingine.wengine hamjui hata sababu ambazo zimevutia viongozi wakubwa kuja Tanzania,wote mnawaza ni kuja kuibiwa tu...jamani kuiba au mikataba sio lazima viongozi wakubwa wafike nchini..
Comment ya kwanza na ya nne ziko poa kabisa kuhusu hii picha huyo anaesifia Oman na huyo wa Sweden ni sawa sawa na kusifia nyumba ya jirani kwa unadhifu wake wakati nyumbani kwako kuna jalala la takataka..... Kama tumeweza kudeki barabara ujio wa Obama kwanini tusijijengee ka utamaduni ka kudeki hizo barabara atleast once or twice a month........ Mstahiki Meya wa jiji la Dar take this as a challenge
Issue sio kudeki barabara, inashangaza kuwa siku zote tunaishi na uchafu na majalala maaeneo ya barabarani, serikali ina uwezi kabisa wa kutuondolea kero hizo, ;lakini haijafanya leo anakuja rais wa nchi nyingine usafi hadi wa kudeki barabaara unafanyika... sie tunaloomba basi kma nyuma tulikosea, akiondoka mgeni hii hali (sio ya kudeki) bali ya kusafisha angalau kutuondolea madampo serikali iiendeleze ili akija Malkia basi tusishangae tena tuone ni usafi wa kawaida wa kumkaribisha mgeni.....Natamani mawazo yangu yangemfikia mstahiki
Kumbe Tanzania tunaweza.....mamlaka husika mmelala usingizi wa kufa,...... shame on you......
ReplyDeleteAcheni ushamba nchi za kiarabu kia siku kunapigwa deki barabarani cha ajabu nini sasa ukifika 3.30 midnight. Oman deki kama kazi
ReplyDeletekabla ya kuandika commnet yako, bora uangalie kwa makini nini kimeandikwa na ufanye ka research kadogo.nchi zilizoendelea , kusafisha barabara ni jambo la kawaida.embu jaribuni kutoa credits kwa viongozi wakati mwingine.wengine hamjui hata sababu ambazo zimevutia viongozi wakubwa kuja Tanzania,wote mnawaza ni kuja kuibiwa tu...jamani kuiba au mikataba sio lazima viongozi wakubwa wafike nchini..
ReplyDeletemohsein,sweden
Look mohsein tatizo lililopo kwanini tusideki barabara siku zote mpaka tungoje Obama aje tz,kama inawezekana basi tungefanya hata mara moja kwa mwaka
DeleteNi bora serikali ya ccm ingesafisha mikono yao iliyotapakaa damu za watu iliyowaua kuliko kufanya unafiki wa kusafisha barabara.
ReplyDeleteComment ya kwanza na ya nne ziko poa kabisa kuhusu hii picha huyo anaesifia Oman na huyo wa Sweden ni sawa sawa na kusifia nyumba ya jirani kwa unadhifu wake wakati nyumbani kwako kuna jalala la takataka..... Kama tumeweza kudeki barabara ujio wa Obama kwanini tusijijengee ka utamaduni ka kudeki hizo barabara atleast once or twice a month........ Mstahiki Meya wa jiji la Dar take this as a challenge
ReplyDeleteIssue sio kudeki barabara, inashangaza kuwa siku zote tunaishi na uchafu na majalala maaeneo ya barabarani, serikali ina uwezi kabisa wa kutuondolea kero hizo, ;lakini haijafanya leo anakuja rais wa nchi nyingine usafi hadi wa kudeki barabaara unafanyika... sie tunaloomba basi kma nyuma tulikosea, akiondoka mgeni hii hali (sio ya kudeki) bali ya kusafisha angalau kutuondolea madampo serikali iiendeleze ili akija Malkia basi tusishangae tena tuone ni usafi wa kawaida wa kumkaribisha mgeni.....Natamani mawazo yangu yangemfikia mstahiki
ReplyDelete