As well as holding talks with President Kikwete, he'll be meeting business leaders and visiting an American-owned power plant.
Tanzania is one of the ten fastest growing economies in the world - and the US is competing with several countries vying for business there.
READ MORE: BBC News - President Obama to visit Africa's boom country Tanzania
hawa BBC wagonjwa kwelikweli, na mara ya mwisho wamevuta bange lini? nchi ishauzwa wao wanatwambia uchumi unakua pumbav
ReplyDeleteWapuuzi sana hawa bbc what kinda crap is this!.... mpaka lini watatudanganya hawa, leo wana interest wanatupa nafasi ya kwanza, kesho watasema tunashikilia mkia keshokutwa watasema tuko nafasi ya 32 the funny thing is vigezo wanavyotumia wanajua wenyewe, ningependa kutoa ilani kwa watanzania kamwe tusiamini aya mambo eti sisi ni wapili au watatu lets do what we gat do to change our lives, izi number zao wanazotupa ni uwongo mtupu and by the way who are they to grade us any how....! Nakasirika mimi..ku$#@ #@$@... zao.
ReplyDeleteHizi ni taarifa za kupewa na mafisadi walioshiba, BBC huwezi kutuambia uchumi unakuwa wakati idadi kubwa ya Watanzania wanakula mlo mmoja kwa siku au kuishi chini ya dola moja kwa siku
ReplyDeleteTatizo lenu mnashindwa kutofautisha kukua kwa uchumi (growth of the economy) na mchango wa kukua kwa uchumi kwenye kuondoa umaskini (the contribution of the growth of the economy in poverty eradication). Au kwa maneno mengine inajibu swali uchumi unapokua nani wanafaidika? Kimsingi, haya ni mambo mawili tofauti sana. Wanachosema BBC ni ukweli usiokwepeka kwamba uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi ya ajabu. Labda swali la msingi ni kwamba kukua huku kwa uchumi kunamnufaishaji mtanzania wa kawaida? Hapo ndipo tatizo lilipo.Mmeelewa? Jamani kama hamuelewi muwe mnauliza!
ReplyDelete