Uchaguzi uliofanyika jana Jumapili, Julai 14, 2013 wa kuwapata madiwani
wa Kata Nne --Themi, Kaloleni, Kimandolu na Elerai-- za mkoani Arusha
umemalizika.
Huku Tume ya Uchaguzi ikisubiriwa kuwatangaza rasmi
washindi, taarifa za awali zinasema kuwa CHADEMA imepata ushindi kwa
kunyakua Kata zote Nne kama ifuatavyo:
KATA YA THEMI: CHADEMA 678; CCM 326; CUF 313
KATA YA KIMANDOLU: CHADEMA 2,665; CCM 1,169
KATA YA KALOLENI: CHADEMA 1,019; CCM 389; CUF 169
KATA YA ELERAI: CHADEMA 1,715; CCM 1,239; CUF 213
Vyama vingine vilivyoshiriki vilikuwa ni TLP, CCK na Demokrasia Makini.
Duh! Yaani ccm hawakuishinda Chadema hata kituo kimoja Chadema kura katika kata zote nne.Chadema ni noma !!
ReplyDeleteNguvu ya Umma
ReplyDeletePpls power Hapana chezea kabisaaaa!!!
ReplyDeleteHONGEREN SANA MAKAMANDA WAZEE WA NUCTA
ReplyDeletechadema waacheni tu.
ReplyDelete