UBAGUZI wa bank ya CRDB
katika utoaji wa ajira kwa wasomi wetu hapa nchini...Ukisoma hilo tangazo lao hapo chini utaona wamesema upendeleo ni kwa chuo cha UDSM..Swali ambalo watu wengi wanalojiuliza je Tanzania kuna vyuo vingapi ?
------------------------------------------------------------------------
HILO NDIO TANGAZO LAO LA KAZI
Sasa hapo ubaguzi ni upi kwa pale udsm hilo ni jambo la kawaida.kwa asiyejua hawezi kuelewa.na hiyo ni kazi ya career centre hapo chuoni na wanafunzi pale ni watafutaji na wananolewa kwenye issue za opportunities za kuajiriwa na kujiajiri so angalia hiyo heading yako ina walakini sana
ReplyDeleteMHHHH
ReplyDelete