Inaonekana Diamond amechoshwa na haters wanaosubiri aanguke kimuziki na kumcheka...
Kupitia mtandao wa Instagram, Diamond ameamua kutupia picha inayomuonyesha akianguka kutoka juu (angani) na kufikia chini kwa kichwa kwenye barabara ya lami.
Picha hiyo ilisindikizwa na maelezo yanayosema , "Najua hiki ndio mnachokisubiri, kwahiyo endeleeni kusubiri"...# Haters
WEWE MTI WENYE MATUNDA VUMILIA MPAKA MPAKA UMALIZE HAYO MATUNDA
ReplyDeletejamani mimba ya baby mama vipi? ipo? nijuzeni wenzangu
ReplyDelete